Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari! Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa: 1. Sebule kubwa (6M × 8M) 2. Dining room kubwa (4M x 4M) 3. Jiko kubwa (3M...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu... Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani) Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master)...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ipo mjimwema mtaa wa Kibugumo Ina vyumba viwili master sitting room Dining Room jiko na public toilet kiwanja kina 25×35 pia mbele kuna Boma la Frem Mbili za biashara bei Tsh. milioni 85 maongezi...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Nyumba inauzwa ipo Sumbawanga Izia mita 80 kutoka soko la sabasaba Ina vyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Lovely double storey house founded in a good neighborhood of Mbezibeach almas street, few metres from Mwaikibaki road, coming with four bedrooms ( all selfcontained ) plus servants quarter. Built...
1 Reactions
0 Replies
711 Views
Ilala Bungoni Bei milion 350… Kwa mawasiliano #0759609942
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nyumba pamoja na kiwanja vnauzwa Kimara Baruti. Ukubwa wake ni 35 kwa 30. Bei yake ni 50m maongezi pia yapo. Kwa mawasiliano zaidi piga 0687968594/0714140094
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa. Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba Inauzwa KIGAMBONI VIJIBWENI, Yenye Vyumba (3) vya Kulala Kimoja wapo ni Master Public Toilet Sehemu ya Kulia Chakula Jiko Nyumba bado Ijamaliziwa ipo kwenye Lenta Kiwanja cha Nyumba Kina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wa JF Nauza nyumba yenye vyumba vitatu, ukumbi, dinning, jiko Vyumba viwili ni master na public toilet moja Nyumba una fance tayari Umeme maji tayari Nyumba ya pili toka barabara kuu ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam waheshimiwa, nahitaji vyombo vya ndani ( geto ). Nahitaji kitanda, godoro, mtungi wa gesi, kikabati cha kizushi ( kibaharia) na vikoro koro vingine vya geto. Vitu ninavyotaka ni vya kijana...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga. Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba mpya yenye Chumba kimoja masta pamoja na sebule. Mahali: Mbezi Juu, Njia ya Goba, kituo cha tatu kutoka masana hospital.. Bei Tshs 150,000 kwa Mwezi. Maji ya dawasa yapo, umeme luku wawili...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Nyumba inauzwa (Pagale) ipo Kigamboni DSM. Ukubwa wa eneo: SQM 500 Document: Hati safi kabisa ya s/mtaa. Location: Kigamboni Mjimwema. KM 4 kutoka ferry, nyumba ipo karibu kabisa na barabara ya...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Asalaam alaikum wanajamii forum Nauza nyumba ambayo namiliki mwenyewe sio dalali 0762987034 Ina vyumba vitatu viwili masters Ina sebule, dinning, jiko , fensi Ni nyumba ya pili toka barabara kuu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Banda la vyumba vitatu linauzwa.Bei 8.5 million. Banda hili lipo Tabata Kinyerezi.Ina bati la Msauzi. Kwa maelezo zaidi njoo inbox.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nyumba ina muonekano wa kuvutia, Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitosheleza ( Masta bedroom), subule, jiko la kisasa na mahala pa kula. Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Land is suitable for both farming and commercial development purposes. Fully fenced, great access, 8.3 acres’ land.Price TZS 8,500 million.Title deed ready. Please contact for viewing and/or...
1 Reactions
3 Replies
901 Views
Nyumba zinauzwa apartment zipo 2 kila nyumba moja inavyumba v3 vyakulala nyumba ipo tegeta wazo kwamakamba bei milion 70 maongezi yapo kalibu 0712943877
2 Reactions
25 Replies
3K Views
-Fremu zipo katika mfumo wa ghorofa chini na juu,ziko 12 zinaface barabara na baadhi zina watu tayari (kupangisha fremu moja ni 70 kwa mwezi) -Nyuma ya fremu kuna vyumba vya kupangisha chumba na...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom