Mabango ya acrylic 3D yawakayo
Ni mabango yenye herufi zilizoumuka zionekanazo pande 3(3D) na zenye mfumo wa umeme.
Huundwa toka kwenye material ya akriliki ambapo ni aina ya plastic...
*
Property Details:
Location: Mikocheni, Dar es Salaam.
Plot Size: 1,200 square meters.
Price: TSh 850 million (negotiable for serious buyers).
Current Structure: Includes an old...
NYUMBA KALI YA KISASA INAUZWA MADALE FLAMINGO MITA 200 KUTOKA BARABARA KUU (MADALE ROAD)
BEI NI TSH MILLION 150
VYUMBA 3 VYOTE MASTER
JIKO LA KISASA
DINNING
PUBLIC TOILET
STORE
SEBULE
UMEME...
Commercial and residential units for sale.
Experience a luxury Seaview city living in our stylish and modern project located at Mikocheni Ursino st.
Our prime location offers easy access to...
Habari, Naitwa Sophia naishi Mbezi beach, Natoa huduma ya usafi majumbani, malipo ni maelewano kulingana na umbali na ukubwa wa nyumba, wasiliana nami kwa namba 0793673652. Asante
Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050...
Habari za sikukuu.
Nauza dumbbells zangu pair ya 20kg x 2.
Napatikana Dar Es Salaam
Bei ni 200k.
Iwapo unahitaji nitumie ujumbe (sms au whatsapp) kwenye namba 0685661790.
Asante
Apartment mpya inauzwa kariakoo
Vyumba vitatu
Kimoja master
Ina fenicha
Ipo ghorofa ya nane
Jengo Lina lift
Jengo ni jipya
Bei Tzshs 280m
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Wasaalaaam ndugu! Nashida na unga wa majani ya mlonge nitapata wapi nipo Shinyanga kwa sasa.
Nmekunywa madawa sana kwa ajili ya tiba mbalimbali najihisi mwili mzito baaada ya kufuatilia nmepata...
Habari za Pasaka wanajukwaa,
SIjawahi kuona kiwanja cha 5M au chini ya 10M kinauzwa Maeneo ya mbeya mjini. Kila siku naona vya 40M tu na kuendelea.
Kama kuna kiwanja chenye bei hiyo niliyoitaja...
GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH
ROOMS 6
ZOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET
PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
🇹🇿Call/WhatsApp...