Habari, nina kuku wa mayai 230. Wana miezi minne na wiki moja. Nimekwama kwenye kuwalisha. Bei ni tsh. 10,000 tu kwa kuku mmoja.
Km upo interested nicheck kweny 0787329281
Au km yupo...
Nyumba nzr na inavyumba 15 vyote ni self na ni nyumba ya ghorofa 2
Ukubwa wa uwanja 1850 sqm
Nyumba imezunguushiwa fance yote..
Bado finishing
Bei 350ml
Maongezi yapo...picha na maelezo...
Acha kulanguliwa Mashine za kupukuchua mahindi kama unavyoiona kwenye video inapatikana kwa bei nafuu zaidi
Piga no 0716 508073
Tupo Arusha Unga Ltd mtaa wa viwanda
Bei niTsh850,000/=...
Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani.
Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa...
Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro
Njoo na ofa yako
Mawasiliano. 0672701329
TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA
Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina...
Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja
EARPODS 3 kwa 7,000/= tu
Viioo vya SIMU
Charge aina zote
Smart watch
N.k
0748831964 Whatsapp
nauza simu yangu iphone 12pro boks lake lipo imepasuka tu back glass
face id inafanya kazi
camera zote zinafanya kazi na kali balaa
battery health 88%
no message
0657977457 whatsapp na kawaida...
Kama bandiko linavyijieleza naitaji flat tv LED tv MPYA inatosha aina iwe sony, Samsung, lg au tcl...gharama isizidi laki sita kamili.. Nipo dar namba zangu 0626 366465...narudia hakikasha hiyo...
Research Support Services
KM RESEARCH SOLUTION
Your Partner in Academic and Professional Success
Are you in need of expert assistance with academic and professional writing? Look no further! KM...
Iphone 7 plain yenye storage ya 32GB battery health ya 100% iko in excellent conditions pia..bei ni 180k fixed! na napatikana Dodoma mjini, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, karibuni sana
Habari zenu wapendwa,
Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali Kwa bei ya punguzo la mwezi wa Ramadhani bei zetu ni nafuu kabisa .
Matairi ya brands mbalimbali na size zote yanapatikana...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya...
Tunakodisha mashine na mitambo mbalimbali kwa bei nafuu.
Mashine zetu zinapatikana kwa muda wa masaa 8 tu.
Pia, tunatoa huduma za lowbed. Bei zetu ni kama ifuatavyo:
Wasiliana nasi:
0694185384...