Toyota Dayna
2 Tons
Tairi zote 6 ziko vizuri, zimetumika miezi 8 tu toka zinunuliwe plus spare Tyre yake pia.
vibali viko okay,
Bei ni 15 Million...
majadiliano yapo kwa serious buyer. Liko...
Leo kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 4:00 usiku kutakuwa na mafunzo ya biashara ya vipodozi kwa watu ambao wanaipenda biashara hii na wanafikiria kuifanya.Utajifunza taratibu za kufuata kisheria...
Fundi urembo wa nyumba nguzo kona skating harch madrisha nk...napatikana dar Es salam ila popote pare ukiniitaji nafika kwa kazi zaidi na nyumba yako iwe na muonekano wa kisasa zaidi call.0784142034
Jeep Grand Cherokee 2005
Ni ya 2005, cc3500, 4x4.# DRV, imelipiwa kodi na imesajiliwa Aug 2017.
Ina leather seat
Location: dar es salaam
Tsh 23000000
Gari n mpya kabisa
Maongezi kidogo yapo
Call...
Anaeuza simu kwa bei io
,comment au text kawaida au WhatsApp..au PM.
0736841432
Tagetted ni Android only,
Xiaomi,infinix, samsung,oppo etc..
N.B- idadi yeyote tunaweza chukua,quality matters..
Kimsingi kama upo tayari ni PM na namba ya simu uniambie kama upo tayari.
Sijaona dhamira yoyote ya sisi vijana kusaidiwa isipo tujiongeze wenyewe.
Kilimo kinauhusu mpunga, tutaandaa Business plan...
Wakuu,msaada tafadhal ...maana kila ninunuapo asal hapa dsm hua naziona zna utofaut mkubwa na nazoagizaga mkoa kwa ndugu yangu flan hiv,..sasa hyo jamaa amefkia ukomo halini tena..maana ana...
SASA KINAUZWA KWA UTARATIBU WA INSTALLMENTS
Wakuu poleni na majukumu,
Kimfaacho mtu chake. Nauza eneo langu ambalo lina msingi wa nyumba
Sifa za eneo
-Lipo chanika zogo Ali
-Umeme nguzo tayari...
Nauza Lenovo Thinkpad T440 mpya kabisa
Nyepesi na nyembamba ina kioo cha inch 14 HD
Battery mbili moja inatoka moja ya ndani zinakaa na charge masaa 8 kila moja
4GB DDR3 RAM
500GB HDD
4th...