Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu, Nahitaji transformer used kubwa kwa ajili ya kiwanda. Iwe nzima na inafanya kazi Ikipatikana kati ya 15/10/2018 itakuwa bora zaidi. Mawasiliano 0764931111
0 Reactions
13 Replies
3K Views
True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start on 02/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration is 5...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina duka la vyombo vya ndani jikoni na mapambo vya kisasa kbs mfano sufuria ambazo hazipoozeshi chakula na vingine vingi unaletea au kutumiwa ulipo bea nzr njoo Dm ukipenda
1 Reactions
12 Replies
10K Views
Wana JF Nimerudi tena kutangaza kuuza nyumba hii (Unfinished House kwa bei nafuu sana.Nyumba ina hati na ipo Madale. Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja ikiwa na Lounge, Kitchen, Store, Lobby, Pantry...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Ni simu nzuri ina miezi mitano tokea niinunue. Ina risiti na kila kitu chake mpaka box lake. Bei laki mbili na 30 tu karibu sana 0655101826 Mzigo uko ndani ya dar!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau naomba mtu ambaye anaweza kuandika business proposal au mtaalamu na mwenye uzoefu Wa kutosha. Tuwasiliane kwa 0742443785 tufanye kazi.
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Uyoga mwekundu au ganoderma ni aina mojawapo ya uyoga ambao ni mgumu na wenye ladha uchungu umekuwa ukitumiwa kwa miaka mingi na nchi kama vile China kama dawa na kuboresha afya kwa ujumla...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Hellow,mambo vip wanajukwaa,mimi ni mwandishi wa vitabu mbalimbali vinavyohusu mtazamo chanya katika maisha,nimekwisha andika vitabu kadhaa lakini ndoto yangu kubwa ni kuviuza kimataifa kupitia...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
JIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR. 1. TV Flat Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000 Zipo Inch 40,50 na 55 2. Passi Philips bei 32,000/= 3. Rice Coker...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Nahitaji earphone used au mpya kabisa iwe original kutoka samsung na kama unayo tuwasiliane chap kwa whatssap namba hii 0677991687 . Niko mwadui shinyanga ila nitagharimia usafiri msingi ifike...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Uwanja wa hekari 3 ambao umepimwa na una hati unauzwa,uko songea mjini mtaa wa Ruvuma.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uwanja wa hekari 3 uliopo songea mjini,mtaa wa Ruvuma UNAUZWA-umepimwa na hati zipo,kwa mawasiliano piga 0655 663733
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam, Nyumba inapangishwa,ina vyumba vitatu vya kulala kimoja miongoni mwa vyumba hivyo ina choo na bafu vingine vilivyobaki vinatumia choo n bafu moja. Ina jiko,sebule na sehemu ya kulia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heka moja Matumizi biashara na makazi Bei ni 4ml 0713715772
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nyumba iwe ndani ya wilaya ya songea mjini,kipaumbele zaidi yenye choo ndani.nitafute 0713715772 au 0764741889
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa msamala songea, INA vyumba vitatu vyote self, master bed room kubwa with bath sink, imejengwa na burnt bricks with cement motor, floor tiles finishing, gipsum roof, hot and cold...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kiwanja kipo songea mjini mkuzo robo heka kinauzwa kwa shiling milioni moja na laki 3 serious buyer yo wellcome
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa yeyote aliyeko Songea na maeneo jirani namuhitaji jogoo husika hapo juu.Mimi napatikana Songea.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza na pia Natafuta tenda ya ku supply unga wa sembe ku mashule au hata watu binafsi kwa jumla na rejareja coz nina maroba ya kutosha.kwa jumla kilo 700 tu,,na unga ni mzuri sana.npo karibu na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NATAFUTA MTU ANAYEPATIKANA MAENEO HAYO KWA AJILI YA KUFANYA NAE BIASHARA FULANI. MIMI KWA SASA NIKO DAR LAKINI NAPAFAHAM VIZURI KWANI NDIO TULIOJENGA BARABARA YA LAMI MAENEO HAYO KUNA FURSA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…