Kiwanja kinauzwa Forest mpya panafikika, miundo yote ya muhimu ipo. Sqm 1200. Bei Tshs 40m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
House with Three Apartments in Kibada Kigamboni for Sale
two units of three bedrooms
one unit of two bedrooms
each unit has independent electricity meter
mature garden
60m freshwater borehole...
Habari ndugu zangu,nauza kiwanja ukubwa ni 20 ×24 kiwanja kipo karibu na barabara ya vumbi inayoenda mlingotini kina karatasi ya mauziano bei 6,00,000/= maongezi kidgo yapo
Phone number...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya...
Nyumba inauzwa Kibaha kwa Mfipa
Ina chumba seble
Ina vyumba viwili milango ya nje
Umeme na maji vipo
Eneo ni 20×20
Imegusa barabara ya mtaa
Bei million 9.8
0744757738
0784376888
Apartments For Sale in Msasani.
Location: Kimweri Avenue.
Floors available: 1st, 2nd, 3rd, 4th, 6th and 8th floors.
There are 3 sizes;
a) 82 square meters
1 bedroom including sitting room and...
Habari. Nina viwanja vinavyouzwa Kibaha kwa Mfipa jirani na chuo cha Mwalim Nyerere.
Pia zipo nyumba zinazouzwa hapo hapo Kibaha kwa Mfipa.
Unaweza wasiliana nami
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba...
Ndugu zangu nahitaji kazi nipo KIBAHA MAILI MOJA, Kazi nazoweza kufanya ni
1.Ulinzi
2. Kuhudumia wateja eneo lolote la biashara au bar
3. kazi zote za nguvu hata viwandani
4. kazi za hotelini...