Habari ,
Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (Mailimbili kwa Mwatano )
Ukubwa ni 331sqm
Huduma zote zipo ndani ya eneo.
Kipo Barabarani.
Kimepimwa na Survey form ipo .
Bei ni 15Million (Mazungumzo yapo...
Viwanja Viwili Vinauzwa.
Mahali: Kigamboni Tundwi Songani.
-Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu.
-Kiwanja namba 509,510 vyote kwa pamoja vinauzwa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1378 na...
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm...
Miaka ya nyuma ilikuwa tukitaka kutengeneza website tunaa ama kuandika code moja kwa moja,kutumia template mbalimbali na zaidi tulikuwa tukitumia CMS kama wordpress na nyingine katika kutengeneza...
Photocopy canon ir 1435 image imagerunner inauzwa
NI Black and White
Inatumia Flash
Double slide
Inatoa copy,inascan
maximum size A4,Inatumia wino wa powerd
Ina bypass tray,ina network port na...
AGIZA TUACHIE
TUKUSAFIRISHIE
Katika Msimu huu wa Mwisho wa mwaka, Pm Cargo tunaendelea kuboresha huduma zetu ili kutanya mchakato wa kuagiza na kusafirisha bidhaa kwa Urahisi, Uharaka na Usalama...
Habari
Kama unauza piki piki, kuna hivi vidogo vya mafuta acha vile vya kuchaji.
Naomba uweke mawasiliano tufanye biashara, iwe kipya au used
Sina picha ila kwa wahusika mmeelewa nilichoeleza...
Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
Ninauza canon ir machine 2520
Price:1,300,00/-(Negotiable)
Location:Chanika,Italiani
Ina print A3 na A4 black and white na inageuza karatasi.
Contacts:0759-124378
UREFU Mashariki- 82. Futi. Kwa
Magharibi- 71 Futi. UPANA Kusini - 56
Futi . Kwa
Kaskazini -52 Futi.
Sifa zake.
Ina security, Pia nimeweka Mfumo wa system Camera. Kisima kipo, Stores...
Plot For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary/Ibn Rushdy school.
2nd row from beach, 100m away from Indian ocean.
Size: SQM 911.
Price: Tsh 250 Million.
Document: Clean...
Je, mtoto wako anahitaji mwalimu wa kumfuatilia kwa karibu akiwa nyumbani?
Elite Home Tuition tunakuletea walimu wenye uwezo na uzoefu kulingana na mahitaji ya mwanafunzi. 👨🏫👩🏫
📖 TUNAFUNDISHA...
Tunauza Coil za mabati, aluzinc coil kwajili ya mabati ya kawaida, coloured coil kwaajili ya mabati yenye rangi.
Rejected coils, unaweza kuja kununua kama scraps au kwa matumizi yako mengine...
Katika uzi huu nitakua naweka subwoofers,soundbars,home theater,speakers na radio za brand tofauti tofauti .
Nitakua nauza bei nafuu kuliko mahali popote Tanzania hii
utachagua bidhaa na kuletewa...