Haya ni Magazijuto ya kisiasa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,928
Mambo yanapokorogeka lazima kutengenezwe movie za kuepesha (misleading) wananchi, kuzugwa na kutafutiwa cha kujadili ili 'deep state' ishughulike na jambo husika.

MAGAZIJUTO kwa wasiojua tafsiri yake ni
()÷×+-
Magazijuto ya kisiasa ni yapi?
Mabano () Fungia mwenyekiti..mpe kesi mbaya
Zidisha × Tafuta mropokaji mmoja azidishe taharuki juu ya jambo linalogusa jamii yote
Jumlisha + mambo madogomadogo yote yasiyo na tija yawe mijadala
Toa - matamko ya kuchanganya jamii.

Hii MAGAZIJUTO Itengezee formula
Katiba mpya
Kesi ya ugaidi
Kelele za LASHIDI
Tozo na mikanganyiko yake
Covid na chanjo

Maa ule mwingi umezidi kipimo ...umejaa pomoni sasa unamwagika... Na unamwagika kwenye tope..!!! MAKINIKA MAA... Kuna kunguni, papasi na viroboto wamekuzunguka pande zote...!!

giphy.gif
 
Hajazungukwa na kunguni Wala viroboto, ni yeye tu hana uwezo wowote.
Na ukiona kunguni na viroboto wanamzunguka jua kuwa wameshajua hamna kitu humo
Kule kuruhusu tu kuzungukwa tayari ni tatizo tayari...!!!
 
Mambo yanapokorogeka lazima kutengenezwe movie za kuepesha (misleading) wananchi, kuzugwa na kutafutiwa cha kujadili ili 'deep state' ishughulike na jambo husika.

MAGAZIJUTO kwa wasiojua tafsiri yake ni
()÷×+-
Magazijuto ya kisiasa ni yapi?
Mabano () Fungia mwenyekiti..mpe kesi mbaya
Zidisha × Tafuta mropokaji mmoja azidishe taharuki juu ya jambo linalogusa jamii yote
Jumlisha + mambo madogomadogo yote yasiyo na tija yawe mijadala
Toa - matamko ya kuchanganya jamii.

Hii MAGAZIJUTO Itengezee formula
Katiba mpya
Kesi ya ugaidi
Kelele za LASHIDI
Tozo na mikanganyiko yake
Covid na chanjo

Maa ule mwingi umezidi kipimo ...umejaa pomoni sasa unamwagika... Na unamwagika kwenye tope..!!! MAKINIKA MAA... Kuna kunguni, papasi na viroboto wamekuzunguka pande zote...!!

giphy.gif

Mkuu Mshana Jr heshima kwako. Ndefu kidogo kuweka mambo sawa.

Hatuko vibaya. Rule of the game: haipo hati miliki ya magazijuto. Yeyote na awaye na yake nasi na magazijuto yetu tunasimama!

Kabla ya yaliyotokea Mwanza tumekuwa na haya mkononi:

1. Kodi na tozo za miamala ya simu
2. Corona na yatokanayo ikiwamo chanjo
3. Katiba mpya.

Hiyo ukiwa kutokana na dharura na hali halisi ya wakati huo. Hayo yakijulikana hivyo kwenye mpangilio huo:

Itusaidie nini kupambania mengine kama maisha yote yako hatarini?

Aluta Continua. Ilirejerelewa Corona kwa muda mfupi kupisha upotoshaji ili kuhakiki salama katika mapambano yanapoendelea:

Chanjo yenyewe si ni kuanzia leo na mtu ukichanjwa inakuwa imeisha hiyo suala la chanjo linakuwa historia?

IMG_20210720_094159_438.jpg

Kila mtu na magazijuto yake, yao yatuhusu nini sisi?

Ila makubaliano nawe chawa ni kila mahali na hasa wale wa vipindi wa misahada.

Tuko vizuri.
 
Mambo yanapokorogeka lazima kutengenezwe movie za kuepesha (misleading) wananchi, kuzugwa na kutafutiwa cha kujadili ili 'deep state' ishughulike na jambo husika.

MAGAZIJUTO kwa wasiojua tafsiri yake ni
()÷×+-
Magazijuto ya kisiasa ni yapi?
Mabano () Fungia mwenyekiti..mpe kesi mbaya
Zidisha × Tafuta mropokaji mmoja azidishe taharuki juu ya jambo linalogusa jamii yote
Jumlisha + mambo madogomadogo yote yasiyo na tija yawe mijadala
Toa - matamko ya kuchanganya jamii.

Hii MAGAZIJUTO Itengezee formula
Katiba mpya
Kesi ya ugaidi
Kelele za LASHIDI
Tozo na mikanganyiko yake
Covid na chanjo

Maa ule mwingi umezidi kipimo ...umejaa pomoni sasa unamwagika... Na unamwagika kwenye tope..!!! MAKINIKA MAA... Kuna kunguni, papasi na viroboto wamekuzunguka pande zote...!!

giphy.gif
Sinema inaendelea
 
Back
Top Bottom