INAUZWA Jipatie top quality: Knitted Ties, Socks and Men’s Underwear

BJB FC

JF-Expert Member
Aug 25, 2015
1,723
1,719
Heshima yenu wakuu.

BJB FINE CLOTHING, Tumeakuandalia KNITTED TIES ZA KIJANJA, MEN UNDERWEAR (BOXER) KALI, PAMOJA NA SOCKS NZURI zenye ubora.

Our Aim Is To Make You More Comfortable And Confident.

ZIFAHAMU BIDHAA ZETU

=> SOCKS
Tuna antimicrobial socks pamoja na socks za kawaida(not antimicrobial).Zipo socks ndefu pamoja na fupi (no show socks), zote kutoka Uturuki.

Tuzicheki fasta fasta faida chache za kuvaa socks
  • Kuepuka harufu mbaya ya miguu
  • Kuepuka fangasi za miguu
  • Kulainisha ngozi ya miguu yako
  • Kupunguza maumivu miguuni
  • Kupata joto miguumi
  • Socks huongeza utanashati
BEI YA SOCKS HAPPY SOCKS NI 9,000 KWA ONE PAIR.

bjbnew16.jpg
BJB Combination13.jpg
BJBSocks30.jpg
BJBSocks28~2.jpg

=>
KNITTED TIES
Kama jina lake, knitted tai, ni tai za kufuma, aidha kwa mkono au mashine.Hizi ndizo trending ties kwa sasa, dunia nzima.Wakati Kuvaa tai, kulionekan ni formal wear zaid, knitted tai zinakupa vyote, formal or casual wear.

BEI YA KNITTED TIE NI 25,000, LIPIA 60,000 KWA TAI TATU(3).
bjbknittedties107.jpg
bjbknittedties006.jpg
bjbknittedties007.jpg
bigdealsocks-20200806-0001.jpg
guptas_paridhan-20200806-0001.jpg
basicallymenz-20200806-0001.jpg
bjbknittedties016.jpg


=> UNDERWEAR
Nguo za ndani za kiume, zikiwa tatu ndani ya box moja.Nzuri sana hizi.Zipo ainabali mbali kama vile BURBERY, LV, GUCCI, FENDI, HUGO BOSS n.k

BEI YA HIZI UNDERWEAR NI 35,000
bjbunderwear08.jpeg
bjbunderwear11.jpeg
bjbunderwear19.jpg
 
Nikiwa mkweli, sijawahi kunua soks kwa bei iliyozidi 2,000 pesa ya Tanganyika. Na wakati mwingine hata hiyo 2,000 huwa naomba nipunguziwe.
Haina shida kabisaa hiyoooo chief.Sokoni kuna bidhaa nyingi za ubora na aina tofautitofauti, hivyo hivyo bei yake.

Kwa nini usijaribu na hizi marvelous socks chief?

Calls/Whatsapp : +255 624 366 385. http://wa.me/+255624366385


BJBSocks12.jpg
BJBSocks02.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom