Nahitaji proposal ya kufanya project

mtanzalendo

Member
Aug 29, 2014
74
121
Habari wadau,

Naomba kwa atakaeguswa anisaidie kunirushia project proposal inisaidie kuandikia miradi ya CBO yetu, tumepata mtu wa kutuunganishia kwa mfadhili lakini tunakosa mradi wa kushawishi.

Proposal iwe ya idea yoyote youth empowerment, environment, elimu, entrepreneurship, afya, human rights, sanitation, sensitization nk nk sisi tunao uwezo wa ku customize ..lengo ni kuisaidia jamii zaid japo na kikundi pia kitapata cv...

Plz kama unauwezo wa kunitumia usipite bila kufanya hivyo. Mungu atakuzidishia na kukufungulia milango zaid..

email yangu ni mzalendo255@gmail.com
 
As how I can sense, your main objective is to work for the money not passion. Change your attitude first
 
As how I can sense, your main objective is to work for the money not passion. Change your attitude first

Umewahi tu kujaji ndugu yangu. Hvi vitu vinaenda vyote kwa pamoja, uwezi fanya intervention bila support ya pesa ata kama una good passion.

By the way sisi ni watanzania sishangai kukimbilia kunijaji badala ya kusapoti.
 
Moderator huu uzi sio tangazo la biashara why unaletwa huku kwenye biashara nakosa wachangiaji wanahousika na haya mambo ni heri muuache kule mchanganyiko au miradi ya biashara.
 
Back
Top Bottom