Natafuta kazi ya utangazaji

Ramos Gerald

Member
May 30, 2017
44
44
Natafuta ajira ya ku host kipindi cha burudani katika radio yeyote kwani nina kipaji na mbunifu wa hali ya juu na nimefanikiwa kupata stashahada ya utangazaji.



Sent from my SHV-E210K using JamiiForums mobile app
 
Awe ' mvumilivu ' kutopata ' mshahara ' kati ya miezi 5 hadi 7 na ajifunze kuishi kwa ' Kugongea ' pale Maryland Bar 24/7.
Mhh!! Kama ataweza kuvumilia
Hyo bhas ajue kabsa hakuna
Kaz atashindwa kufanya
Hata ya kuzbua karo itakua
Rais kwake
 
Ushauri wangu kama unakipaji cha kutangaza tengeneza demo zako unatuma kwenye magrouop ya whataspp, facebook au anzisha YouTube channel yako utajulikana tu. Watu watakusikia itakuwa rahisi kupata kazi.....au angalia mainstream media hapa Tanzania zinakwama wapi then unakuja na kipindi kipya tofauti.
 
Back
Top Bottom