Sauti za wananchi zapasua anga

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,323
Bunge letu ni dhaifu sana!
Linatumiwa na sirikali kuuaminisha ulimwengu kanakwamba wananchi tunawakilishwa huku lenyewe likiisimamia serikali.

Udhaifu wa bunge letu hauondolewi kwa spika kufoka foka!!
Litakuwa madhubuti likiisimamia serikali kama makusudi yake kuwapo yanavyolitaka liwe.

****** anauthubutu gani kumng'akia Prof. Asad kwa udhaifu wa Bunge kushindwa kuiwajibisha sirikali inayotumia mabilioni ya shilingi za walipa kodi pasipo kuidhinishiwa na Bunge la wananchi?

Sirikali haifanyi biashara kwa namna ya moja kwa moja Sasa ni nini kimeitumbukiza kwenye biashara kwa kununua midege tena kwa hela ambazo hazikuidhinishwa na bunge?

Hata kama wanaolipwa ni watanzania wenzetu, fedha za manunuzi ya korosho ziliidhinishwa lini na bunge LETU (sio la ******)

Wananchi tunasema kwa kusisitiza kabisa.

Bunge letu halitutetei sisi wananchi.
Linashirikiana na muhimili mwingine kutunyonya..

****** akiongea na waandishi wa habari alidai muda hautoshi kuelezea mafanikio ya bunge analoliongoza sisi wananchi tunamuuliza kwani alipewa dakika ngapi kuwasilisha hoja yake?

Ifuatayo ni orodha ya mambo yanayotupa ujasiri wa kusema Bunge Letu Limedhoofu.
1.
2.
 
Nazan alikuwa na majukumu mengine ya kikazi baada ya pale. ...kauli ndo ishatoka na CAG anatakiwa kufika tarehe alioambiwa ingawa wasi wang isije ikawa siku hiyo wahojaji wakaanza kuhojiwa wenyewe mana Prof akili mingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge letu ni dhaifu sana!
Linatumiwa na sirikali kuuaminisha ulimwengu kanakwamba wananchi tunawakilishwa huku lenyewe likiisimamia serikali.

Udhaifu wa bunge letu hauondolewi kwa spika kufoka foka!!
Litakuwa madhubuti likiisimamia serikali kama makusudi yake kuwapo yanavyolitaka liwe.

****** anauthubutu gani kumng'akia Prof. Asad kwa udhaifu wa Bunge kushindwa kuiwajibisha sirikali inayotumia mabilioni ya shilingi za walipa kodi pasipo kuidhinishiwa na Bunge la wananchi?

Sirikali haifanyi biashara kwa namna ya moja kwa moja Sasa ni nini kimeitumbukiza kwenye biashara kwa kununua midege tena kwa hela ambazo hazikuidhinishwa na bunge?

Hata kama wanaolipwa ni watanzania wenzetu, fedha za manunuzi ya korosho ziliidhinishwa lini na bunge LETU (sio la ******)

Wananchi tunasema kwa kusisitiza kabisa.

Bunge letu halitutetei sisi wananchi.
Linashirikiana na muhimili mwingine kutunyonya..

****** akiongea na waandishi wa habari alidai muda hautoshi kuelezea mafanikio ya bunge analoliongoza sisi wananchi tunamuuliza kwani alipewa dakika ngapi kuwasilisha hoja yake?

Ifuatayo ni orodha ya mambo yanayotupa ujasiri wa kusema Bunge Letu Limedhoofu.
1.
2.
Kukichwa kutambazuka lakini kabla jua halijachomoza kiza huwa totoro
tapatalk_1544903719371.jpeg

Jr
 
Kukichwa kutambazuka lakini kabla jua halijachomoza kiza huwa totoro View attachment 989139

Jr
Yaani Bunge linalojinasibu kuwa ni shupavu linafanya vikao vyao gizani! Afadhali hata "Kilingeni" kuku anachinjwa Live mbele ya mteja!

Hili Bunge linatengeneza movies, linaziedit kisha linatoa zile za kusifu na kuiabudu sirikali!

Bunge dhaifu sana hili.
 
Tabu tupu

Jr
 
Kitendo cha Ndungai kumshanbulia hasimu wake mpaka kuzimia alitakiwa awe mirembe badala kuwa mkuu wa mjengoni!
 
Back
Top Bottom