Salim Shaban Mmbago
ni mara yangu ya kwanza kutumia jamiiforums naomba ushirikiano katika nyanja tofaut tofaut mimi ni bado kijana mdogo nahitaji kuwa ni mwenye kujiexpose kwa watu kwa njia ya...
Mambo zenu ..kwa jina naitwa Angelina naweza sema sio mzoefu Sana na mazingira ya humu
..lakini nilichofurahi nimekuta positive people ambao unaweza omba ushauri na wakakushauri vizur tu ...
Ofsa kama ofsa leo nimekuwa mwanachama miongoni mwenu hivyo basi ndugu wajumbe wa idara zote humu mnielekeze namna bora ya kuishi kwa kheri humu.
Lengo kubwa ni kujifunza, kuelimika na...
Mimi mgeni hapa nataka kukaribishwa nimevutiwa sana na ukurasa huu na nimeamua kua member wa JF kwa lengo la kujifunza na kupata ushauri mbalimbali katika jukwaa hili.
Naomba kukaribishwa...