Jina langu naitwa Mr Remy Modest nimevutiwa sana na mijadala ya kina inayofanyika jamii forums, hvyo nimeamua kujiunga na na majukwaa haya yenye kujenga na kuelimsha, naomba mnipokee wadau.
Mimi hapa ni mgeni. Niliona vyema nijitambulishe kwenu, nikiwa na nia njema.
Nasoma chuo cha Mzumbe (Morogoro), nipo 3rd yr kwa sasa.
Tupo pamoja wadau.
Naomba mnipokee na ninawasalimu wakubwa kwa wadogo humu ukumbini.
Leo ni siku kubwa kwetu nchi yetu ikiwa kwenye uchaguzi mkuu wa kitaifa, namimi nikaona niweke kumbukumbu kwa kuwa mwanachama...