Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mimi Ni mwenyeji kidogo humu ambapo Leo hii JamiiForums wamenitunuku usenior member. Kwa sababu ya kufikisha vigezo vyao, imenichukua zaidi ya mwaka mmoja Tangu nilivyo kua Active kua senior...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Habarini wanaJf. Naam rasmi naungana nanyi leo katika JF ambapo ni eneo salama na kitovu cha uelewa,naamini hapa ni zaidi ya Chuo Kikuu,Havard University ikasome! Nipokeeni, nileleeni, nikuzeni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf, Nawasalimu nyote , ninafurahia kua miongoni mwa wanachama wa JF. ninafurahi kuwa mwanafamilia wa Jf Ahsanteni kwa upendo Ahsanteni.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba kutumia nafasi hii kujitambulisha rasmi kama mwana familia mpya wa jamiiforum na naamini nitajifunza mengi.
0 Reactions
3 Replies
605 Views
Nikaribisheni mgenii
1 Reactions
4 Replies
700 Views
Am Lidocaine. Wakubwa shikamoni, wadogo marahaba, age mate mambo zenu.
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Hellow abaghi ya kwenu huko munyote bazima niko mngeni umu mwenu nipatisheni mwongozo
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hi, CrazenKai naomba kukaribishwa. In love with Games, PC's & Music.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi Wana JamiiForums
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Napenda kuwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi ni kama kuku mgeni bado nina kamba miguuni. Naomba mapokezi yenu wana JF.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi jamii ya JamiiForums mzee wenu nimekuja kubadilishiwa mawazo
1 Reactions
6 Replies
702 Views
Bila kuchelewa. Hodi humu ndani wakulu naomba ushilikiano wenu kunipokea,naomba kuwasilisha
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi humu ndani
1 Reactions
3 Replies
744 Views
Nawapenda sana natumaini nitajifunza mengi
0 Reactions
5 Replies
670 Views
Naamini kwa kubadilishana mawazo kwetu kunania moja ya kujenga fikra chanya bila kujali jinsia, umri wala cheo. Let's be in a straight line together as one.
1 Reactions
4 Replies
782 Views
Baada ya kipindi kirefu cha kuwa msomaji tu,nimejiunga rasmi naombeni ushirikiano wenu wakuu
0 Reactions
3 Replies
798 Views
Nawasalimu wadau wote humu jamvini. Nimekuwa msomaji kimzimu kwa muda mrefu sasa nimeamua kujiunga rasmi. Naomba mnipokee
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeona nijikaribishe tu maana naona nachelewa naamini mtanipa usirikiano maana sijui chochote humu sijui kutag ndio nn tajifunza taratibu humu jf kuna mambo mengi sana hongera jf na member...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello jamn Mimi mgeni humu ndani, nataka kujua wageni tunakaa wapi
1 Reactions
2 Replies
43K Views
Hodi! Habari
0 Reactions
5 Replies
841 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…