Ukiona kanisa linageuzwa sehemu ya kuongelea mambo ya siasa , wewe jua tu tatizo siyo waamini bali ni Askofu mwenyewe au mchungaji mwenyewe, na waamini wakajikuta wamekuwa washahabiki wa Mchungaji...
Utu wa mtu ni bora sana , kuliko maandiko matakatifu. Huwezi ukayaishi maandiko matakatifu kama hauthamini utu wa mtu. Utu wa mtu ndo mtu mwenyewe, ukimdharau mtu umeudharau utu wake.
Naitwa Ian Christopher ni member wa muda kidogo sema sikua active kama sasa, ninafurahi kuwa hapa na nitashukuru kwa ushirikiano wenu nyinyi members, na pia ni msanifu ujenzi (Architect) mnaweza...
habari zenu wakuu nimerudi tena mgeni mwenyeji
kwa shamra shamra ndelemo na vifijo,, naomba mnipokee tena
pia kama utahitaji brand new Samsung phones from authorized samsung dealer msisite
asante...
Napenda kujitambulisha kwenu wanajukwaa na wanajamvi wezangu wa jamiiforums,naamini tutakuwa pamoja na tutajuzana na kushirikiana mada mbalimbali wadau wezangu.
Mimi mgeni kwenye jukwaa hili hivyo tuko pamoja na naomba nishirikiane na nyie katika mijadala mbalimbali ndani ya platform hii na majukwaa yake yote. Thanks
Habari kama ilivyo mimi ni mgeni humu licha ya kuwa mtembeleaji wa JF kama mgeni ila nimeamua kujisajili.
Naombeni mnikaribishe kwa bashasha
Mimindoyulejamaamkatili
I’m a New JF Member
—Granted Faith that’s my AKA but My Real Name is Robson Faith Mark Mwandosya
—Economist by Professional
—Student: M.A Economics at Boston University