Habari zenu my first time on jamii forum
Kujiunga kwangu humu ni kugusa jamii kuhusu BULLYING/HARASSMENT UONEVU/UNYANYASAJI
watoto,vijana, wanawake pia wanaume ambao wamewekwa nyuma kwenye...
Jah... Rastafari.
Ninakushukuru na Kukuabudu wewe uliye pekee Mtakatifu Muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo.
Ndugu katika uumbaji wa Muumba wetu, Amani na Upendo Vitawale Katikati Yetu...
Habarin wakuu Mimi ni Mgeni JF naomben mnipokee kwe Moyo mkunjufu Nina Imani tutakuwa pamoja . Heshima Kwa wakongwe wa jukwaa .#GOD is good all the time 💯
Naitwa best , nipo Dar ni
ni mgeni kwenye jamii forum
na fursa nazozitoa kushirikisha vijana mawzo wenzangu kwenye jarida langu liitwalo online magazine tanzania
Dhumini la jarida Hilo ni...
Side Makini ni Blogger na Mchapishaji wa nyimbo kutoka Barani Afrika hususani Tanzania na huchapisha matukio yote ya Muziki ndani na nje ya Tanzania kila siku kupitia TWITTER, FACEBOOK...