Habari zenu wajamen!,naomba radhi kwa kingia bila kubisha hodi. Anayedhani alikuwa uchi wamnyama asiogope maana mimi ni kipofu macho yangu fimbo. Aman iwe nanyi....!
HI GUYS....Whassssup..Whaass'en! am TROO finding new Experience!:argue:,News Updates,Sharing Joys:smile-big:,Jokes:smash:,Sorrow:crying:,
Problem,Success,Lifehardship:help:,Politics and Highly...
Nimekuwa nikifuatilia JF kw muda mrefu....nimejiunga kitambo pia ila nilipata matatizo katika password...thanks,leo mchana mods wamereset na sasa ni member wa JF!
hey great thinkers naomba ukaribisho jamvini.. nimekuwa msomaji wa threads na comments mbalimbali za wajajf almost mwaka mzima na kugundua kuwa hapa ni mahali muafaka wa mimi kuwa member... pls...