Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi hodi wanajukwaa, naitwa Amuri nipo Iramba. Naombeni kujua chumba kipi sipaswi kuingia.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mie mgeni wenu jamani naomba mnipokee
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Naomba kukaribishwa
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nawasalimia jamani.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari... Ujinga mtupu nimeingia hapa... Usiniulize jinsia zote zangu.... Mimi ni mgeni kabisa... Kama ww mstaraabu tafadhali usilete kwangu tutagombana... Nikaribisheni jamani...
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Just wanted to say Hi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaJF mwenzenu bado mgeni humu humu ndio najitambulisha rasmi kwenu. Naombeni ushirikiano kutoka kwenu Watanzania wenzangu. ASANTENI SANA.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naitwa jonax a.k.a Kikofia. Picha yangu hiyo[emoji116] natumaini nitapata mapokezi mema, kama mlivyompokea member mpya.[emoji116] Liknk: https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17591462...
1 Reactions
212 Replies
12K Views
Hodi wana grew mimi ni new member wa hili group
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Hodi Asalam Aleikum ;);)
0 Reactions
5 Replies
846 Views
Leo ni siku yangu ya pili kuwamo humu ndani na nimeona si vyema kuwavamia "great thinkers" kimya kimya!! Lengo ni kujifunza vitu mbalimbali na kuongeza mtandao wa marafiki!
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Jaman me mgen hum ndan naomben ukaribisho wenu napend aman heshima na upendo kwa wezangu Natanguliza shukran kwenu Nawapenda wote
9 Reactions
84 Replies
6K Views
Jaman hodi humu ndani naomba muongozo tafadhali maana nimekua mfatiliaji kimya kimya kwa mda mrefu nikaona nakosa uhondo
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Hi, rasmi I'm a member.....!
2 Reactions
5 Replies
917 Views
Habari humu ndani,naomba mnipokee.Asante
1 Reactions
6 Replies
731 Views
  • Poll Poll
Nmezunguka nmejikuta nmedondokea humu Npokeen wanajf
0 Reactions
2 Replies
424 Views
Nahisi mpo njema sana Mimi mgeni naingia leo. Asanteni sana
0 Reactions
3 Replies
562 Views
wengine nawaangalia tu humu JF nawacheki nasema hihihiiiii...
0 Reactions
2 Replies
639 Views
Habari zenu mabwana na mabibi, nimekuja jukwaani kushirikiana nanyi. Nikaribisheni basi kwa bashashaa!
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari zenu, mie mgeni maeneo haya nawasalimu wenyeji wangu[emoji114]
9 Reactions
116 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…