Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
mambo ni aje wana jamii?
0 Reactions
5 Replies
745 Views
helow....guys..im new here...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima kubwa sana mbele yenu wakuu , nimeingia bila hodi na nilikuwa kimyaa ! Nilikuwa nausoma mchezo , Shortly nimekuja ku add value ya Jf , nipokeeni .
1 Reactions
11 Replies
1K Views
hello guys..am new in the forum so will be gratefull and thanksfull kama mtanikaribisha kwa mikono miwili....:attention:
0 Reactions
4 Replies
888 Views
Respect to all!!
0 Reactions
3 Replies
830 Views
habari wana JF,nafurahi kujumuika na nyie hapa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimerudi tena ulingoni baada ya kuwa ughaibuni mzee wa ku-test na kidole kwanza kabla sijanasa!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa naibia busara zenu kwa muda mrefu nikiwa nje ya jamvi. Nimejikuta navutika kuingia ndani ili nami pia nijifunze zaidi toka kwenu kwa mada zenu, kwa kujenga hoja, na kujadili mambo mbalimbali.
0 Reactions
4 Replies
695 Views
helo JF members, wazima jamani, nikaribisheni tuweze kubadilishana mawazo
0 Reactions
5 Replies
774 Views
Amani iwe kwenu wana JF. Nami nimejiunga baada ya kuvutiwa na mada, ushauri, maoni na mengineyo yaliyomo humu jamvini. Naomba nami niwe mmoja wenu.
0 Reactions
4 Replies
755 Views
Habari zenu wanajf
0 Reactions
6 Replies
767 Views
wadau habari zenu, mi ndo nmeingia rasmi JF yaan nanukia ule uturi wa kiarabu, kama ndo nmefunguliwa kwenye box. Hope will enjoy the JF xperience. Me welcome sana!!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habali za asubuh mabibi na mabwana!hodiiiiiii
0 Reactions
6 Replies
898 Views
Hello! Hello!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hellow wadau hodi hodi, am in the house as a new member, let us share constractive idea we have. nategemea ku get a lot from great thinkers.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi
Hello Jamii forum member
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ushirikiano na upendo ndo mpango mzima.!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
here am a new member would like to learn a lot from you!!!!!!!!!
0 Reactions
5 Replies
850 Views
Habari good people. Actually I have re-registered here. Kuna mhuni anatumia akaunti yangu ya zamani KANIKI. Mods kindly work on that. Otherwise, I'm happy to be here again. Kaniki2.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Am landway! am interesting with programming crew please i welcome those programmers to welcome me.
0 Reactions
4 Replies
873 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…