Ni mgeni ndani ya ''JF'' naomba mnipokee kwa mikono miwili!!!! :biggrin:Am so kind and good if you act the same but kama utakuwa tofauti then ntakuwa tofauti pia:frusty:....coz am kinda straight...
Mimi naitwa Chica ili jina nilipewa na mwalimu wangu wa Spanish kwa kufaulu vizuri somo lake. Na guapa nilipewa na my friends walikuwa wanapenda ninavyosmile.
Leo Ndio nimeona nijitambulishe...