Baada ya muda mrefu kuwa gesti katika JF nimeamua nami kuingia rasmi hadi ukumbini. Nimekuja na agenda moja tu -- mabadiliko -- kwani nachukia sana watu wa magamba na usanii wao.
Kwa hiyo...
Kwa mara ya kwanza napiga hodi kwa wenyeji humu jf. Mara nyingi nimekuwa nachungulia kama mgeni lakini nimeona ni bora nijiunge pamoja nanyi ili tuchangie pamoja mawazo yetu kwa manufaa yetu sote...
Mambo vp wenyeji wenye fikra pevu katika JF, heshma kwenu na naamini huku ushirikiano ni mia mia. Pamoja sana now and ever!https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/yo.gif