Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Helo diaz... Nafurahi kuungana na nyie
1 Reactions
11 Replies
855 Views
hodi wadau wa J-forums mi mgeni naomba ushirikiano wenu
1 Reactions
6 Replies
917 Views
Hello fans
1 Reactions
4 Replies
925 Views
Naitwa Ramateo_tz ni kijana 20 yrz old very ambitious and enthusiastic with being successful
0 Reactions
4 Replies
600 Views
Habari za majukumu ndugu zangu wana jf. Nimejiunga jf kama member mpya na naona ni vyema kujitambulisha na kuomba ushirikiano wenu. Naamini penye wengi pana mengi. Niliwahi ku-readover jf miaka ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari kila mmoja, Nimekuwa nikipitia baadhi ya nyuzi za JF kwa mda sasa nimekuwa nikipata majibu ya maswali yangu, sambamba na vicheko, maana kuna members humu wana excellent sense of humour na...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Great thinkers naomba mnipokee, nimekuwa msomaji miaka mingi, sasa ni rasmi ni mwana Jf. Ni hayo tu Asanteni sana[emoji120].
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari! Poleni na mihangaiko, mi ni mgeni kwa group naomba mnipokee. Naipenda Jamii forums kwasababu inaelimisha na kuburudisha pia. Ahsante
4 Reactions
29 Replies
1K Views
futi 6 kutoka pande za a town nawapa salamu za kunipokea humu ndani .... najishugulisha na useremala na huwa napenda sana kuingia humu kuperuzi lakini leo nimeamua niwe mshiriki kwa kufungua...
1 Reactions
5 Replies
641 Views
Mimi ni mgeni nnaomba mnikaribishe
1 Reactions
6 Replies
700 Views
Mimi ni mwanachama mgeni naomba ushirikiano wenu.
2 Reactions
9 Replies
770 Views
Habari za wakati huu wamachama wote wa JF , new member apa kwa jina Peter John
2 Reactions
9 Replies
825 Views
Wakuu Adam hapa.. Nawasalimu kwa jina la JF! #Tozo na Makato ni Maendeleo ya Chama. Pamoja.
0 Reactions
8 Replies
687 Views
Kwa Kiingereza hodi unasemaje?? Anyways hodi humu jamvini. Mimi new member naitwa Afrocentric, kwasababu sijawa brainwashed na propaganda za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu n.k.
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hellow wapenzi! Naitwa Radam1 Mie mgeni JF [emoji3526] Am happy to join you [emoji3060]
1 Reactions
8 Replies
817 Views
Wasalamu wapendwa wangu wa JamiiForums, Nimekosekana jukwaani kwa miaka kadhaa hii ni kutokana na mihangaiko ya maisha yaani maisha yalinipiga plus magonjwa kiasi cha kukosa smart phone. Kwa...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Me ni mgeni naomba mwongozo na maelekezo shukran kwa muda wenu
0 Reactions
5 Replies
672 Views
Habari! Jina langu ni Elisha Kigahe. Nimevutiwa kuwa mmoja wa wajumbe wa JF. Naomba mnipokee.
2 Reactions
7 Replies
741 Views
Nimefurahi kujumuika nanyi.
0 Reactions
15 Replies
834 Views
Thanks!
0 Reactions
12 Replies
879 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…