Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Natumai mko wazima wote, mimi mgeni naomba mnipokee.
0 Reactions
5 Replies
689 Views
Hello, Jamii Forums member mpya, japokuwa nilikuwa natumia jamii forums since kulee kwenye free basics.
1 Reactions
16 Replies
899 Views
Bazenga mwenyewe kutoka+254 amejiunga rasmi na JF. Nimekuwa nikifuatilia nyuzi kutoka kwa tovuti, nimekuwa nikifurahia sana. Watanzania mpo juu.
0 Reactions
6 Replies
609 Views
Habari, mimi naitwa Ramadhan, ni mgeni, hivyo naomba ushirikiano wenu kama wanachama wa JamiiForums.
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Hi!
1 Reactions
8 Replies
967 Views
Habari za humu ndani, mimi ni mgeni hivyo naomba ushirikiano wenu. Nimekuwa nikifatilia JF kipindi kirefu bila kujiunga, ila leo nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kujiunga ili; 1. Nikosoe pale...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Mimi naitwa mtoto wa baba... Ni mgeni hapa jf naomba mnipokee. Ahsante Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
8 Reactions
81 Replies
7K Views
Miaka 3 natumia JF bila kuwa sehemu ya wanachama, leo nimeamua kuwa mdau. Asanteni!
2 Reactions
4 Replies
631 Views
Hodi!
1 Reactions
14 Replies
826 Views
Jaman wana Jamii Forums naomba mnipokee.
2 Reactions
7 Replies
789 Views
Hello!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Together we shall reach our destiny, thank you.
1 Reactions
13 Replies
931 Views
Hodi jaman
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hbr, said abdalah new member wa jamii forums what i need from you is your cooperation 🙏
1 Reactions
44 Replies
3K Views
hodi jamani mimi ni mgeni humu nimekuja kuchota maarifa huku nimechoka huko nilikotoka hasa fb,tw,tik,gra
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hello wanajamii, nimejiunga na forum, nikae wapi?
1 Reactions
6 Replies
909 Views
Nielezeni nikae wapi?
2 Reactions
6 Replies
643 Views
Ndugu zangu kwema humu ndani
2 Reactions
10 Replies
794 Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika mimi nilikua na akauti ila ikavurugika nikashindwa kuirudisha sasa nimerudi kwa akaunt mpya naomba ushirikiano wenu
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…