baada ya kufatilia kwa kina jukwaa hili na kuona faida zake ikiwa ni pamoja na kupata habari mbalimbali nimeona na mimi niwe mmoja wenu katika kutoa michango mbalimbali naomba mnikaribishe
Baada ya kusoma post tu kwa siku nyingi,leo nimeamua kujiunga rasmi ili niweze kutoa mchango wang ktk mambo mbalimbali.natarajia ushirikiano mzuri kwa members wote:heh:
Hodi hodi wana MMU,CC,JF DR,UJASILIMALI,nimemfuata mume wangu sababu kila siku anachelewa kulala,kisa JF,kuanzia leo namfuata nyuma nyuma
*WasiWasi ndo Akili*
Hallaaaaaaaaaaaaaaaaa jamii forum members here is mr.somebody new by registered but am legend by following you in this forum...........................Appreciate u all /////SALUTE 4 giving the...
natumai wote ni wazima na napenda kutoa furaha yangu isiyo kifani kwa kuweza kujiunga na mtandao huu natumaini nitajifunza mengi kwa kujumuika katika kuchangia mawazo na kupata mawazo mapya na...