Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wana wa Tanzania Asante sana kwa kukaribishwa humu, nitajitahidi kutoa mchango wa kimawazo na zaidi. best regards! Lemaasai
0 Reactions
7 Replies
971 Views
I wish ningejiunga kitambo, nimemic vingi kwa kuwa guest.
0 Reactions
10 Replies
894 Views
hodihodi wana JF mimi mgeni wenuuuuuuuu.
0 Reactions
10 Replies
980 Views
Jamani, hodi hodi. Najiunga humu, naombe ulezi wenu.
0 Reactions
6 Replies
764 Views
Simara ya kwanza kutumia jf,nimaranyingi tu lakini sikuwahi jujitambulisha.nawaombeni member wote wa jf mnipokee kwa nianjema kama mwanaharakati kama ninyi.asanteni sana!
0 Reactions
7 Replies
810 Views
nijamii ndani ya jamii hivyo tajifunza mengi asanteni sa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau kiufupi na mimi nimejiunga na huu mtandao wa kijamii natarajia kupata ushirikiano mkubwa to kwenu kwa mema kimsingi busara ndo utuongoze hasa kwenye kutoa maoni:a s 11:
0 Reactions
5 Replies
785 Views
hellooo... i need to share ideas with you people on different topics! thank you!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Pasi shaka yeyote naifahamu jamiiforum! Nimekuwa naitembelea mara nyingi kama Mgeni ila kwa sasa nina imani nimefanya uamuzi bora wa kujiunga kabisa na mtandao huu nikiwa na dhima kuu ya kutoa na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf, Nimefurah sana kuingia katika jamii hii na naomba mapokez yenu na msaada wenu. Naamini kuwa mafanikio yangu yapo mikononi mwenu,mungu awalinde wote.. Amina
0 Reactions
7 Replies
841 Views
Baada ya muda mrefu niliokuwa nikisoma post zenu na mimi sasa najiunga ili niweze hata kuweka mawazo yangu ya kujenga nchi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipo muda mrefu humu.
0 Reactions
5 Replies
729 Views
habari wana jf, mimi ni mgeni humu! naombeni mnipokee! pasi na hapo, nimeingia na kilio cha matokeo ya darasa la saba ya mdogo wangu, kasomeshwa shule ya gharama kweli, lakini mwisho wa siku...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Salaam wanajamii!
0 Reactions
6 Replies
932 Views
habari wana jf jamani mimi mgeni naombeni mnikaribishe nimekua visitor kwa muda sasa nimeona ni vyema nijiunge ili nipate mazur zaidi ni hayo tu
0 Reactions
8 Replies
947 Views
Baada ya kuwa guest kweny JF kwa miezi kadhaa,sasa nimekubaliwa kuwa member.Tafadhali msikose kunielekeza pale ninapokosea maana binti wa Pwani hakosi shanga kiunoni.
1 Reactions
9 Replies
957 Views
hello Jamii Forum, mimi ni mgeni naomba mnipokee plz
0 Reactions
5 Replies
759 Views
hey wadau mko pouwaa? new member in the house of great thinkers! naipenda jf xanaaa na matarajio yangu ni kuwa gold member wa jf,kiukwel inasaidia kupata info za fasta na za uhakika though c zote...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Tutafutane jamani wana jamii forum
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A na B! A na B! Naimba jamani,naingia taratiibu ndani ya ukumbi huu adhimu,nawategemea sana!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…