Habarini enyi ndugu zangu wana JF!! Nafrai kuwa mmoja wa JF member kwa sababu
1. Ni mali ya Watanzania halisi yenye lugha yetu halisi(Kiswahil)
2.Ni mahali ambapo palinipa, Pananipa na...
Ninafurahi sana kujoin na the home of great thinkers maake ni mda sana nimejarbu kujiunga na jf lakn device yang ilishndwa! Naombeni ushirikiano wenu mzur ktk uanajamvi humu ndan;nawatakia wakat...
Nafurahi kupata fursa ya kuchanganyika nanyi greeeeeaaaat thinkers. tupo pamoja. nimechoshwa kutembelea majukwaa kama guest,raha ya ngoma uingie ucheze
Habar zenu..,nawasalimu wote mliopo umu ndani,wakubwa kwa wadogo...nmeamua kujiunga na jf kwa ajil ya kushare ideas na kujfunza pia,,,naomben ushirikiano wenzang!
Ndugu zangu wa jukwaa hili mu wazma?
Mimi ni mgeni ktk jukwaa hili, ila kwa mda mrefu nmekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa threads zinazoletwa hapa jukwaani. Hivyo nmevutiwa na jinsi wadau...
mie waltham hapa natokea kenya.+254 flow.hope hamna aliye na titizo na hilo.wazanzibari kwa watanganyika naja na salamu za amani na heshma.kwa walionizidi umri shikamoo na rika wasssup.
When you get to know someone then you end up having relationship her then she is not interested what will I do to copy with that situation becoz is so hard to let go