PATA ELIMU MAANA NI UTAJIRI USIYO ISHA JE, UNAHITAJI KUJIFUNZA KIINGEREZA CHA KUONGEA NA KUANDIKA KWA WIKI CHACHE? JE, NYUMBANI KWAKO UNA WATOTO WALIO DARASA LA 4 HADI LA 7 AU FORM 1 HADI 4 NA...
Takribani siku ya nane (8) sasa wanafunzi wa chuo cha tiba ya meno (school of dental therap) , Advanced diploma in clinic medicine na nursing school(hospital ya rufaa MBEYA) awapewi chakula cha...
Habari zenu wadau? Jina langu kama linavyojieleza Panya Road...sina masihara. Naomba mnikaribishe humu ndani mi mgeni wenu jamani. Tafadhali mnionyeshe sebule,choo,jiko,chumba cha kulala hata stoo...
Habari zenu wana jukwaa hili? mi mwenzenu ila nilikuwa kule jukwaa la siasa, nimeamua kuhamia huku kule kumenishinda kabisa, lile jukwaa limekuwa kama Bunge la Tanzania (majungu, kejeli, vijembe...
Hellow..mambo guys??well,hata sijui niandike nini ila am new here na napenda kuwa mshiriki mzuuri so wanna ask u guys kunisaidia nifikie malengo..thank you soooooo much