Hodii hapa jamvini na wasalimia enyi ndugu zanguni wote Asalaamaleykum popote pale mlipo, ipendeni inchi yenu,lindeni amani na upendo vilivyopo ktk nchi hii ilojaa kili aina ya rasilimali lkn...
Mimi mgeni wenu nipokeeni bila ya kinyongo , nilikua napitia humu kabla ya leo kuruhusiwa kuingia rasmi.
Naomba ushirikiano wenu mimi ni mgeni wa Mungu naomba munipokee.
mimi nimgeni, hapa kwenye hii forum, nimeipenda sana. mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, wafugaji mpo?? ambaye ana kuku aina ya Dorep na kenbro please anifahamishe.asanteni