Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenu wote, nmeamua kujiunga rasmi baada ya kuifuatilia JF kwa miaka mingi, naomba ushirikiano wenu wa kila namna.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana JF, naomba mnipokee nikiwa kama mwanachama rasmi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
New
Habari jamani me ni mpya so naitaji karibu jamani japo nilipitia post mbalimbali zilizonifunza na kunielimisha, kabla sijaomba ukaribisho
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naitwa Lillian ni member mpya wa jamii forum
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam, wakuu nimejikuta tu tayari nimejisajili humu yani kama chafya tu. Mnipe ushirikiano Mengi mtajifunza kutoka kwangu Mniheshimu nami nitawaheshimu. Ahsante
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hi..!! to everyone I'm a newcomer and I ask for the company. I believe this area is unique to meet unique people for the exchange of ideas that's why I decided to join. I LOVE YOU ALL WISH YOU...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisoma posts kwa miaka mitatu sasa as a guest, nimeamua kujiunga rasmi
0 Reactions
8 Replies
988 Views
I salute you all kwa mada na michango murua niliyokua nikizisoma nikiwa nje ya JF, now that nimeingia mjengoni i hope to benefit a lot. God bless you all.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mm ni mgeni humundani na napenda marafiki wa kubadilishana mawaza Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Najitambulisha kama ninavyoonekana, nimechoka kusoma post as a guest . Naomba mwenyeji mmoja anipokee
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Naomben mnipokee mgeni mm
0 Reactions
23 Replies
2K Views
haya jamn nimerud tena baada ya kupotea kwa muda.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomben seaty wakubwa . heshima yenu. [emoji112]
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nawakubali wote wadau just all about fun connect collaborate motivet each guyz.......
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa msomaji kupitia dirishani kwa muda mrefu, sasa niamua kujiunga nanyi ili niweze kuchangia japo machache.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mm mgeni ninafuraha sana
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina furaha sana leo kuwa member wa jf.mambo mengi nitajifunza humu naombeni ushirikiano. Ahsante
0 Reactions
5 Replies
918 Views
Naombeni ushirikiano wenu tc me meddick
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nashuru tangia nijiunge humu leo ndio post yangu ya kwanza na bila kusahau nimepata rafiki mmoja tu na niwa kike jina langu kamili RASHID MITUMBA
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…