Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
  • Redirect
Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wengi tunajua tunawaonaje wanawake wanaovaa vikuku, sisi tunawaza mengine, wao wanasema ni urembo tuu. LEO FUNGUKENI HAPA, KWANINI MNAVAA VIKUKU?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndugu zangu naombeni anaejua dawa, sabuni, mafuta au lotion inayoweza kuondoa upele usoni mabaka na chunusi. Kiukweli uso wangu umetokewa na upele mwingi naombeni msaada
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Cover za sofa za uturuki zimewaili Full set ni 3x2x1x1 185,000/- 0713691101 call whatsap/telegram Tunakufikia popote ulipo Mikoa yote tunatuma
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wasalam..! Kama nilivyo wasalimia kijana ni mgen kwenye huu mtandao, nimiez michache nimejiunga humu. Hapo mwanzo nilikiua nasikia jamii forum, lakin rafiki yangu juz, tukiwa tunapata mbili...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari za mchana wanajamvi Kwa muda sasa nimekuwa nikikerwa na baadhi ya tabia ambazo zinaonyeshwa na jinsia ya KE ambazo sio za kistaarabu kabisa.Moja ya tabia hizo ni 1.Wanawake wengi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama tatu kwisha habari. Nimewaza labda nilete solution ya...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Pata Tsh 7000 kwa haraka. Mikopo nafuu na Branch. Pata programu ya Branch: Branch - Personal Loan App - Apps on Google Play hakikisha umetumia kodi ya promo victor2012c ili upate Tsh 7000...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mavazi ni muhimu sana katika kujenga mtindo wa maisha wa mtu na kujiamini. Watu wote wanastahili kuvaa mavazi ambayo yanawapendeza na kufanya wajisikie vizuri. Kwa hivyo, hapa kuna vidokezo kadhaa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habarini za jioni wakuu!! Naombeni mnisaidie kwa anayefahamu dawa ya kuondoa mapele baada ya kunyoa ndevu Naombeni mnifahamisheni wakuu👏👏
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nkiwa na lakii nne naeza fungua duka la cosmet ...nipo mwanza Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuna website wananiletea mishono kila siku. Kama mnapenda nikiwa na muda ni takes ninawaletea angalau mara moja kwa wiki. Ninasubiri jibu lenu.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani naombeni kujua mda Gani mtu ataweza jaribu ku conceive tena baada ya c section delivery mtoto alikosa alikufa tumboni
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wadada naombeni ufafanuzi juu ya hivi vikuku mnavyo vaa! Je mnavaa kwa fashen au mnatangaza Biashara? Mimi nawaogopa sana awa wadada wa vikuku😣😒
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kabla ya kuamua kupunguza uzito, Wengi huchukizwa na muonekano wa sehemu za tumbo, mapaja na mikono. Hivyo ni rahisi zaidi kupunguza uzito kama utaondoa nyama zembe katika sehemu hizo. Ili...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom