Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
mambo vp ndugu...nataka kuanza biashara ya ufugaji kuku wa kienyeji kama kuna mtu ana experience na hii kitu anajuze jinsi ya kuwakinga kuku katika magonjwa dawa zipi za kutumia
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tunauza mayai na vifaranga vya kware kwa bei nafuu sana kwa ambaye anatamani kujua jinsi ya kufuga, bei ya mayai na vifaranga na mengineo tunapatikana tabata changombe na kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Naomba mwongozo wa ufugaji wa nguruwe kwani nina kijieneo changu huko zingiziwa nje kidogo ya jiji la dar ambacho nilitaka nikitumie kwa kufuga ama kuku wa kienyeji au nguruwe
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naomba mwongozo wa ufugaji wa nguruwe kwani nina kijieneo changu huko zingiziwa nje kidogo ya jiji la dar ambacho nilitaka nikitumie kwa kufuga ama kuku wa kienyeji au nguruwe
0 Reactions
Replies
Views
Waungwana, Mimi ni mlemavu wa miguu uliotokana na kuumia vibaya mgongo, natumia Wheelchair na ninaishi uswahilini maeneo ya ndani ndani, Natamani kufanya biashara yenye faida na isiyoitaji mtaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CAMARADOR CAMP – MWANZA CITY Mwana JF uliyeko Mwanza na yeyote anayetegemea kutembelea jiji la Mwanza; unakaribishwa kujumuika na wastaarabu Camarador Camp iliyo Barabara ya Nyerere (Igoma –...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
ni mgeni hapa Dar, niko na kazi zangu ambazo nitaka kuziprinti ni business card, naomba jua ni wapi ninakoweza kufanya printing
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Waungwana numetoa ofa hiyo kwa mwenye uhutaj anichek fasta ninamadume ya kware30 nataka kuyatoa fasta mwenye uhitaj anichek fasta tufanye biz au anipe majike 20 nimpe madume 27 fasta
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je una mayai lakini huna mashine ya kutotoresha na unaishi maeneo ya kanda ya ziwa hasa karibu na kahama. Huduma hii inapatikana njoo na mayai ili upate kutotoreshewa. Hii ni kwa ajili ya watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalam wanajamii .ninaufuta tani50 .natafuta soko. Namba yangu 0712155462,asanten sana
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Napenda kufahamu kwa mtu yoyote au makapuni wanaonunua ufuta tafadhali.
0 Reactions
27 Replies
17K Views
  • Redirect
Nahitaji kujaribu kilimo hicho naomba kujua mwenye uzoefu anijuze na changamoto zake
0 Reactions
Replies
Views
Naomba kujua na kupatiwa namna ya kufungua biashara ya uuzaji mitumba
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari zenu, Nauza mayai ya kuku wa kisasa tray moja Shs 6000/= .Nipo Dar es salaam. kwa anaehitaji ni PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda wana JF,Mimi ni mjasiriamali mdogo sana wa kuku wa kienyeji..Ila kwa sasa nategemea kukua kibiashara na kuanza kufuga kuku wa mayai na hivyo ninahitaji kujenga mabanda ya kuku wa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Tafadhali kwa yeyote ambaye anajua location ya BBone electronics nimekutana nalo kwenye online shoping website moja but nataka siku moja nilitembelee hili duka, Thanks.
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Nataka kupeleka material ya pp na pet Naona wachina wanaitana tu na kujazana kwetu wakati nasi tunaweza kufanya na tuna uzoefu wa kutosha kupata malighafi.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Franchising FAQs 1. I'm interested in owning my own SUBWAY® restaurant. How do I get started...
1 Reactions
0 Replies
942 Views
Waungwana mwenye Kware weng majike na anashida ya madume kwa ajili ya mbegu tubadilishane maana ninamadume meng had majike hawana raha hapatuli bandan, hata10 nitawafata kokote ulipo dar hii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakubwa naomba ushauri, chuoni nasoma na nina fedha sh laki saba hivyo nataka nifanye nini ili nipate faida bila kuathiri masomo yangu
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Back
Top Bottom