Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

2 Votes
UTANGULIZI Katika sekta ya afya kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa vipimo vya awali katika zahanati za serikali , hii hali inapelekea vifo au hali hatarishi zaidi kwa zile jamii ambavyo vipo...
0 Reactions
1 Replies
576 Views
Upvote 2
2 Votes
Kuboresha Sekta ya Afya kwa Matumizi ya Teknolojia ya Telemedicine na AI(Akili bandia) kwa Miaka 25: Maono na Utekelezaji Utangulizi Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya...
0 Reactions
1 Replies
405 Views
Upvote 2
2 Votes
Kwanza nipende kushukuru kwa kupata kufahamu juu ya fursa hii, watanzania wote wanaweza kutoa mawazo yao tofauti tofauti, Pia nichukue nafasi hii kuipongeza serikali toka awamu ya tano na ya sita...
0 Reactions
4 Replies
356 Views
Upvote 2
1 Vote
Dunia ya sasa ipo katika MAPINDUZI makubwa sana ya Teknolojia na hii imepelekea karibia KILA kitu SASA kinafanywa KWA Teknolojia kubwa bila kujarisha ni sekta gani. Nina tarajia na kuzishauri...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Upvote 1
4 Votes
UTANGULIZI Wazazi au walezi wengi wa kitanzania hawana elimu bora ya malezi jambo linalopelekea kutokuzalisha vijana walio bora kwenye jamii wenye kuleta matokeo chanya kwa taifa na hatimae...
0 Reactions
4 Replies
576 Views
Upvote 4
3 Votes
TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA. Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema...
1 Reactions
4 Replies
678 Views
Upvote 3
1 Vote
THE TANZANIA WE WANT Tanzania as a country is blessed with lots of potentials that needs to be utilized in such a sense that they can enable the country to have an outstanding economy.The...
0 Reactions
2 Replies
373 Views
Upvote 1
0 Votes
Elimu bora inamaanisha mfumo wa elimu ambao unahakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kupata elimu ya hali ya juu na inayomudu kuboresha maisha yake. Hii inajumuisha mambo mengi, kama...
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Upvote 0
0 Votes
Utoaji wa dhamana mahakamani hasa kwa kesi za ukatili wa kijinsi kwa watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti kwa kiasi kikubwa zimeendelea kuathiri mwenendo wa kesi hizo kutokana na mtuhumiwa kuwa nje...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Upvote 0
2 Votes
♦️Binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Watu wakikuona una uwezo wa kufanya jambo fulani, au pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao una ushawishi fulani kwenye Jamii, watataka kukutumia ili...
1 Reactions
1 Replies
407 Views
Upvote 2
0 Votes
Tanzania tuitakayo: Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Upvote 0
2 Votes
Nchini Tanzania, hali ya umasikini bado imetamalaki licha ya jitihada mbalimbali kuchukuliwa ili kupunguza umasikini na kukuza uchumi. Jitihada za kupunguza umasikini zimeonekana kuwa na matokeo...
0 Reactions
1 Replies
404 Views
Upvote 2
2 Votes
Vipaji imekuwa ni ajira inayolipa katika inchi zilizoendelea,inchi nyingi zilizoendelea duniani zimewekeza kwenye kutambua na kuibua vipaji vya watoto. Andiko hili linaelezea umuhimu wa Serikali...
1 Reactions
2 Replies
456 Views
Upvote 2
0 Votes
Elimu ni taa ya nchi na wananchi wenyewe. Elimu ikipatikana Kwa ufasaha Kwa mlaji wa mwisho inachochea watu kuzipenda na kuihitaji katika maisha yao.elimu Kwa baadhi ya wazee wetu walio pata...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Upvote 0
1 Vote
Nimewahi kukutana na msemo mmoja unasema "Maisha yangu yalianza kuwa magumu baada tu ya kutaka kuwa mtu mzuri kwa kila mtu". Kwenye haya maisha unaweza ukawa mtu mwema tu lakini ikawa si lazima...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Upvote 1
8 Votes
NB: picha kwa hisani ya mtandao. UTANGULIZI. 👉 Linapokuja suala la mapenzi, mahusiano, na ndoa, watu wanaweza kuwa na matakwa mbalimbali yanayohusiana na hali ya maisha, utamaduni, na imani zao...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 8
24 Votes
UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni...
18 Reactions
6 Replies
648 Views
Upvote 24
4 Votes
Bwana Yesu ASIFIWE .... Assalamualaikum...... Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro Kwanza nianze...
2 Reactions
3 Replies
500 Views
Upvote 4
2 Votes
Ajira ni tatizo kubwa linalozikumba nchi nyingi duniani, tatizo hilo linajulikana kama (Global Problem) likiwa na maana ya tatizo la kidunia. Kutokana na ripoti iliyotolewa na Decent Job for Youth...
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Upvote 2
1 Vote
Mwaka Kesho 2025 mnamo October mpaka November basi kila raia wa Tanzania hadithi yake mpya itayo kua na mabadiliko ndipo itapo Anza kama ilikua ni yakupata uchaguzi wa haki,kupata kiongozi alie...
0 Reactions
2 Replies
445 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…