Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

2 Votes
Kila Kona ya nchi yetu kumejaa madimbwi, Machozi kila Kona kila chozi linalotoka linaashiria machungu na maumivu, ni nani aliyetayari kukausha madimbwi haya?, ni nani wa kumfuta machozi huyu...
0 Reactions
3 Replies
489 Views
Upvote 2
0 Votes
Ukweli usio pingika taifa letu limekuwa likizalisha wataalamu wengi kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali ndani na nje ya nchi. Lakini wengi wao hawapati nafasi ya kuonyesha uwezo wao kwenye soko la...
0 Reactions
3 Replies
284 Views
Upvote 0
1 Vote
Utangulizi VUTV ni mpango unaolenga kubadilisha mbinu nan njia tunazotumia Tanzania kufanya shughuli zetu hasa kwa maeneo ya vijijini ambapo ndipo uzalishaji wa bidhaa kama mazao na malighafi...
1 Reactions
3 Replies
331 Views
Upvote 1
4 Votes
UTANGULIZI Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi...
2 Reactions
5 Replies
683 Views
Upvote 4
1 Vote
Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa...
0 Reactions
3 Replies
433 Views
Upvote 1
1 Vote
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha kumekuwa na mahususiono mengi ambayo yamejawa na kutokuaminiana ndani yake, maana yake nini? Tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu suala la kutokuamiana hasa kwa...
0 Reactions
1 Replies
308 Views
Upvote 1
4 Votes
Kila mtu anayezaliwa katika dunia yetu amekuja na akili ambayo ndani yake hakuna mawazo ya aina yoyote kuhusiana na maisha. Uelewa wetu tulionao kuhusiana na maisha ni matokeo ya mawazo ambayo...
1 Reactions
2 Replies
553 Views
Upvote 4
4 Votes
Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshuhudia wimbi kubwa sana la wageni wa kiarabu, kutokea nchini Misri wakizungusha Vyombo/bidhaa zao, kwenye Ofisi,shule,hospital na hata majumbani, wakiuza na...
1 Reactions
5 Replies
488 Views
Upvote 4
6 Votes
Utapia mloa ni changamoto kubwa sana Tanzania, na utapia mloa ni ukosefu wa virutubiaho muhimu mwilini hasa sana Protein. Utapia Mlo ni ugonjwa wa Aibu kubwa sana hivyo ni lazima tuchukue hatua...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Upvote 6
2 Votes
Kwa asilimia kubwa Sana taifa limekua liki tafuta na kuwepo katika jukwa la kimataifa kuzungumzia utajiri hasiria ambao Umekua kua ukichangia Sana katika pato la taifa pamoja na watu binafsi...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Upvote 2
6 Votes
UTANGULIZI Nina kiu na shauku ya kuendelea kuona Tanzania yenye wananchi na viongozi ambao ni wazalendo na wenye kuipenda nchi yetu kwa dhati. MATARAJIO YANGU - Wananchi na viongozi wajitolee...
4 Reactions
6 Replies
436 Views
Upvote 6
2 Votes
Africa Ni bara tajiri MUNGU amelipa Mali nyingi but still bado Ni maskini. Tuliosoma darasani sababu za bara hili kua maskini kwa mtazamo wangu sio kweli .Tujiulize yafuatayo. Nikweli Africa...
0 Reactions
4 Replies
462 Views
Upvote 2
1 Vote
Katika elimu ya chuo kikuu. 1: Kwenye mfumo wa elimu ya chuo kikuu kwa sasa mwanafunzi anapoanza chuo huwa anasoma masomo mengi tofauti tofauti ambayo mengine ni nje ya kile ambacho amelenga...
0 Reactions
2 Replies
322 Views
Upvote 1
9 Votes
INTRODUCTION. NB: picture courtesy of the internet. (Christian and Muslim religious leaders greeting each other is a great solidar ity) 👉In envisioning the Tanzania we want, fostering a...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Upvote 9
1 Vote
(ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Upvote 1
1 Vote
TANZANIA TUITAKAYO Tanzania ni nchi inayopatikana barani afrika katika ukanda wa afrika mashariki, ni nchi iliyojariwa vyanzo mbalimbali vya kuvutia kama madini , mbuga za wanyama mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
Upvote 1
0 Votes
Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi...
0 Reactions
1 Replies
432 Views
Upvote 0
2 Votes
Utangulizi Salamu kwenu wana jukwaa. Andiko langu kwa Tanzania niitakayo litajikita katika Nyanja ya Elimu ya awali, msingi mpaka sekondari (Kidato cha Nne) Mfumo wa Elimu yetu bado haujaweza...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Upvote 2
4 Votes
Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi...
1 Reactions
2 Replies
377 Views
Upvote 4
1 Vote
Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni umeonekana kulegalega mno. Hali inayosababisha kupoteza imani kwa mashirika ya ndani na nje katika kiwatumia wataalamu wetu. Ni ukweli...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…