Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

3 Votes
Utangulizi Katika kuangazia Tanzania ya baadaye, ni muhimu kuweka mikakati ambayo inazingatia ukuaji wa kisekta kwa njia shirikishi na endelevu. Maono haya yanapania kutengeneza mazingira ambapo...
3 Reactions
3 Replies
598 Views
Upvote 3
2 Votes
Jina langu ni FRANCIS 0742749886 Mabadiliko ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na teknolojia, mazingira, jamii, na uchumi vinaendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Katika miaka 5 hadi 25...
0 Reactions
3 Replies
382 Views
Upvote 2
4 Votes
Elimu: 1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia. 2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu. 3. Miaka 15: Kuanzisha...
1 Reactions
2 Replies
438 Views
Upvote 4
4 Votes
Tanzania ya baadaye inaweza kujenga msingi imara wa maendeleo endelevu kwa kufanya mageuzi ya kina katika maeneo muhimu kama vile elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira, na miundombinu. Hapa...
2 Reactions
7 Replies
477 Views
Upvote 4
4 Votes
### Tanzania Tuitakayo Ndani ya Miaka 25 #### Utangulizi Tanzania ni nchi yenye maliasili nyingi, rasilimali watu yenye bidii, na utajiri wa utamaduni. Katika kipindi cha miaka 25 ijayo...
0 Reactions
2 Replies
398 Views
Upvote 4
5 Votes
Napenda kushiriki katika story of change kwa kutoa mawazo, mapendekezo na maoni yangu juu ya Tanzania tuitakayo. Yapo mengi ambayo ningependa kuyazungumzia katika mada hii lakini ushiriki wangu...
2 Reactions
2 Replies
901 Views
Upvote 5
3 Votes
UTANGULIZI Changamoto ya ukosefu wa ajira nchini imeendelea kukua kwa kasi huku sababu zikielezwa kua ni ufinyu wa bajeti na wahitimu wasio na weledi. Ukosefu wa ajara unapelekea vijana wengi...
0 Reactions
2 Replies
520 Views
Upvote 3
3 Votes
(Nchi yangu Tanzania, nilalapo nakuota wwe) .ni moja ya mstari katika nyimbo ya kizalendo ya taifa la tanzania ukibeba kiu na ndoto za wananchi wake wenye kiu ya maendelo kwa taifa hili. Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
203 Views
Upvote 3
4 Votes
Executive Summary Corruption and fraudulent activities continue to plague societies and economies around the world, leading to significant economic losses, erosion of trust in institutions, and...
0 Reactions
1 Replies
511 Views
Upvote 4
3 Votes
UTANGULIZI: Uzalishaji Wa Ndani ni Uzalishaji ambao ,unaohusiana Matumizi binafsi , ukuaji binafsi katika uwekezaji ,uwekezaji wa Serikali Matumizi ya Serikali Kutoka na kuingiza bidhaa ndani ya...
1 Reactions
1 Replies
341 Views
Upvote 3
5 Votes
Tanzania kama zilivyo nchi nyingi zinazoendelea zinakabiliwa na kiwango kikubwa cha umasikini ambao unapelekea huduma za kijamii kama elimu, afya, barabara, umeme na mambo mengine kupatikana kwa...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Upvote 5
2 Votes
Vyuo VIKUU nchini Tanzania vilianzishwa baada ya uhuru wa Tanganyika mnamo mwaka 1961 .chuo Cha kwanza ,kuasisiwa mwaka 1970. Tangu wakati huo hadi sasa serikali imekuwa ikiweka msisitizo mkubwa...
0 Reactions
1 Replies
366 Views
Upvote 2
0 Votes
Njia za Kutekeleza Sera ya Uchumi Endelevu kwa Mwananchi Mmoja Mmoja kama Nguzo ya Taifa Bora kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania Uchumi endelevu ni dhana inayolenga kuleta maendeleo ya kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Upvote 0
1 Vote
Kukuza Ajira kwa Vijana wa Tanzania kwa Miaka 5 Hadi 25 Ijayo Ili kupata Tanzania yenye uchumi Bora. Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ajira kwa vijana, hali inayotishia ustawi wa taifa...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Upvote 1
10 Votes
Kilimo bado ni muhimu sana nchini Tanzania, kwani kinatoa ajira kwa idadi kubwa ya watu na kuchangia takribani robo moja ya pato la ndani la taifa (Benson, 2017; Cooksey, 2012). Kwa kutegemea sana...
3 Reactions
10 Replies
647 Views
Upvote 10
3 Votes
Kwa mujibu wa utafiti wa umoja wa mataifa, kila baada ya sekunde 8 mtu mmoja hufa kutokana na madhara ya sigara. 📸Wikipedia Sigara ina madhara makubwa sana katika mwili wa binadamu, lakini...
1 Reactions
0 Replies
362 Views
Upvote 3
13 Votes
Ili tuweze Kufikia malengo tunahitaji kuwa na juhudi, tuweze kuvuka vikwazo na kukamilisha mipango sahihi. Viongozi wetu waonyeshe dira, pamoja tufanye kazi, tuweze kuzalisha ili tufikie...
1 Reactions
3 Replies
484 Views
Upvote 13
1 Vote
Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo tofauti nchini Tanzania ni kuboresha miundombinu ya barabara zetu ambazo ndio chachu ya maendeleo kwa kiasi kikubwa kwani itapelekea Watu kuwahi...
1 Reactions
1 Replies
213 Views
Upvote 1
1 Vote
Munakasha wa kipi kianze kati ya vitu hivyo viwili umekua ni endelevu na wa muda mrefu na mgumu. Aina zote mbili za uhuru ni misingi ya jamii za kidemokrasia na maendeleo binafsi na taifa kwa...
1 Reactions
0 Replies
294 Views
Upvote 1
2 Votes
Nimushukuru mwenyezi mungu Kwa kunipa afya njema nami niwakaribishe watanzania wenzangu katika #storyofchange na jamii forums. Kama ambavyo bendera yetu ikiwakilisha rangi zake nne blue(bahari na...
2 Reactions
1 Replies
208 Views
Upvote 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…