Vijana ni kundi la watu ambalo lipo kati ya umri wa miaka 18 mpaka 40, hii hutofautiana kwa baadhi ya jamii nyingine.
Kundi hili ndio kubwa zaidi kwenye nchi yetu na linaongezeka kwa kasi kila...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu.
Utafiti uliofanyika mwaka...
Baazi ya watanzania hawajui haki zako za msingi hata kishelia ila Nina mapendekezo vipi somo la haki za kibinaadam Kwa hapa Tanzania lisiwe miongoni mwao mtaala Wa elimi kuanzia ngazi ya msingi...
SEKTA YA ELIMU TANZANIA BAADA YA MIAKA KUMI.
sekta ya elimu ni sekta muhimu sana katika ukuaji wa maendeleo katika taifa sababu ndiosekta pekee ambayo inazalisha wataalamu mbalimbali ambao...
Mradi wa build better tomorrow (BBT)
Ambao serikari kupitia wizara ya kilimo ulianzisha mwaka 2022/2023
Lengo kuu ni kusaidia vijana kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo na ufugaji na kupunguza...
All life depends on water, which is also an essential resource for household, industrial, and agricultural use. The significance of efficient water management in semi-arid areas, where water...
Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika...
Nashiba nikionja ni Kila natapika!!
Namshukuru aliye asili yangu Kwa pumzi na uweza wangu wa kupata na Kutoa taarifa Kwa jamii ya watanzania.
Nyumba yangu imejengwa msingi tu,Haina Kuta,haija...
UTANGULIZI
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika moja ya hotuba zake aliwahi kunukuliwa akisema kwamba “Dhima kuu ya elimu ni kuleta uhuru wa kifikra miongoni mwa watu, uhuru wa kifikra ambao...
Mizigo ya Kodi katika Nchi Zinazoendelea
Nchi nyingi zinazoendelea huweka kodi za juu za kampuni na viwango vya VAT, zikiwa na lengo la kupata fedha kwa ajili ya huduma za umma na miundombinu...
Everyone has a dream, whether big or small but i surely means something to the dreamers. These dreams sometimes defines our hopes and expectations for what we want to achieve and heights we want...
UTANGULIZI
Serikali imeanzisha kampeni ya kupambana na usugu wa madawa na tiba za kiholela kwa wananchi kupitia kampeni iitwayo HOLELA HOLELA ITAKUKOST. Hii kampeni ni nzuri kwa jamii na ina...
UTANGULIZI
Ugonjwa wa shinikizo la juu la damu umekuwa ugonjwa unaoongoza kuathiri watu miongoni mwa magonjwa yasiyokuwa ya kuambukizwa. Kwa takwimu za mwaka 2024 zilizotolewa na Journal of Human...
Kama taifa sasa tunashuhudia kumea kwa matabaka ya chuki kati ya jamii na watu wenye itikadi kali dhidi ya wengine ambao wanaonekana kuwa inferio ndani ya nchi yao.
Wananchi ambao wanaonekana...
Niwazi ya kuwa serikali iko mbioni kwa hali na mali kuhakikisha kuwa wananchi na watanzania wote wanakuwa sehenu na maendeleo na utatuzi wa changamoto katika jamii
Ukuwaji wa democrasia nchini na...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Kama lilivyo tamu kulitamka jina la nchi yangu Tanzania ndivyo ninavyotamani kuona mabadiliko ya kijamii na kichumi kwa ujumla viwe na ladha hiyo ya utamu. Kumekuwa...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika adhima yake ya kuleta maendeleo kwa wanachi imekua ikifanya maboresho katika sekta ya elimu msingi , sekondari, vyuo vya ufundi na elimu ya juu...
Mumbe ndio ulikubali ulotoka marekani
Umeletwa kama msaada wa chakula nchini
Kuongezwa virutubisho kuleta protini mwilini
Mbona nchi nyingi zina njaa ikiwemo sudan kusini
Mjumbe ndio mbona...
Unyanyasaji kwa watoto ni tatizo ambalo la weza sababishwa na mtu mzima au mtoto kwa mtoto linalomfanya mtoto athirike. Laweza kumuathiri mtoto kimwili, kihisia, kingono. Pale tunaposhindwa...
Utalii, ni kitendo cha kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la kujiburudisha au kujifunza. Tanzania ni moja kati ya nchi zenye vivutio vingi vya Utalii duniani na ikiwa ni nchi ya...