Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

On JF:

1 Vote
Elimu ni kitu muhimu sana kwetu sisi sote katika nchi yetu na dunia nzima kwa ujumla wake, kupitia elimu tunaweza kua na uwezo wa kufanya vitu vingi vyenye kuleta tija katika jamii zetu maana hata...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Upvote 1
0 Votes
Nasema na kijana, kijana yoyote aliezaliwa katika ardhi takatifu ya Tanzania.Kijana mwenye kuwiwa na mafanikio na mwenye mkururo wa fikra za kimapinduzi na maendeleo. Najua umezaliwa katika...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Upvote 0
2 Votes
UTANGULIZI Tanzania ni nchi inayo pokea bidhaa nyingi sana ambazo si halali kutoka kwa watengenezaji bidhaa hizo kama vifaa vya umeme na nyenzo za kazi. BIDHAA ZISIZO HALISI Bidhaa nyingi...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Upvote 2
6 Votes
Tafakuri ya leo sitoanza na salamu bali kujaribu kuelezea athari zitakazo sababishwa na kuongezeka kwa Kodi na tozo kwenye kila nyanja ya uchumi wa nchi. Duniani kote Uchumi uongozwa na sera...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Upvote 6
8 Votes
Habari za muda huu ndugu msomaji wa makala hii. Napenda kukukaribisha kusoma simulizi hii fupi yenye uhalisia Kwa namna Moja ama nyingine. Tukiwa na umri wa miaka kumi Mimi na rafiki yangu aitwae...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 8
0 Votes
UTANGULIZI Ukatili ni kitendo kiovu au kichafu anachofanyiwa mtu au watu. Ukatili ni neno lenye mapana sana na limebeba vitu vingi ambayo baadhi yake tunavijua na kuvielewa kabisa. Ukatili ni...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Upvote 0
1 Vote
Fikiria jinsi unavyoweza kuishi kwa furaha pasipo msongo wa mawazo unaosababishwa mara nyingi na mkwamo-kiuchumi. Fikiria unayo pesa ya kutosha kulipa bili zako zote, matumizi ya kawaida kama...
1 Reactions
1 Replies
884 Views
Upvote 1
1 Vote
TANZANIA YANGU 1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake..✍🏻 2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute...
1 Reactions
2 Replies
570 Views
Upvote 1
3 Votes
MATUMIZI SAHIHI YA DAWA. Matumizi sahihi ya dawa. Matumizi sahihi ya dawa ni ile hali ya mgojwa kupokea dawa sahihi kutokana na mahitaji yake (ya ugojwa), kwa dozi sahihi ambayo inaendana na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 3
1 Vote
Ukizungumzia mavazi ya kisasa ya wanawake, basi DELA ama kama wengine wanavyoliita DILA halibaki nyuma, na lenyewe utaliona kimbelembele kuliko hata mbele yenyewe. Vazi hili limejizolea wafuasi...
1 Reactions
4 Replies
715 Views
Upvote 1
2 Votes
Umuhimu wa chakula uonekana palipo na njaa vivyo hivyo umuhimu wa amani huonekana pasipo na amani, giza lilitanda upande wa kazkazini mwa Tanzania maskani pa majirani zetu wa nchi ya kidemokrasia...
2 Reactions
0 Replies
653 Views
Upvote 2
0 Votes
CHOZI la mama; Chozi hutokana na huzuni au maumivu anayoyapata mtu, inawezekana kwa sababu ya:- kusalitiwa. -kunyanyaswa kwa aina mbali mbali. -historia mbaya. Na mengine...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Upvote 0
2 Votes
Kwanza kabisa ningependa kushukuru kwa fursa hii adhimu katika jukwaa la uandishi wa STORY OF CHANGE 2022. Kwa upande wangu nitajikita katika Nyanja ya elimu, na kwa namna ya pekee nitajielekeza...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 2
0 Votes
Habari wanajamvi na poleni kwa majukumu ya kujitafutia riziki ili kujenga nchi. Nawaombeni msome mwanzo hadi mwisho ili kuweza kunufaika na FURSA hii ya 'kusikiliza'. Nijikite kwenye mada moja...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Upvote 0
0 Votes
KUFELI ni kushindwa kukamilisha jambo kwa wakati. Husababishwa na hofu, kukosa uzoefu au kukosa kujiamini. Hakuna mafanikio bila maumivu, hata mbegu hulazimika kuiumiza ardhi kwa kuipasua ili...
0 Reactions
1 Replies
558 Views
Upvote 0
0 Votes
Elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Elimu husaidia mtu kuelimika ,kujitambua , kuchukua hatua na kufanya...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Upvote 0
6 Votes
1. Utangulizi Idadi kubwa ya wafanyakazi Tanzania hawazifahamu haki zao jambo ambalo linapelekea kunyonywa, kukandamizwa, kunyanyaswa, na kudhalilishwa na waajiri wao kwa njia mbalimbali kama...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Upvote 6
4 Votes
KILIMO BIASHARA Kilimo biashara, ni kilimo chenye fursa kubwa Kwa kila mkulima pamoja na vijana kwani ni kilimo ambacho kinampatia tija mkulima haswa katika utambuzi wa masoko na kujua ni aina...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 4
10 Votes
Unyanyasaji wa wenza majumbani ni aina ya Unyanyasaji wa Kijinsia unaohatarisha afya ya umma ulimwenguni kote na huletelea madhara kisaikolojia, kiuchumi na kiafya kwa mtu binafsi, familia na...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Upvote 10
Back
Top Bottom