Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

On JF:

4 Votes
  • Closed
Kifungu cha 71 cha Kanuni za Uchaguzi 2020 (Uchaguzi wa Urais na Ubunge) kinaeleza kuwa:- Kutokuwepo kwa wakala au wagombea wakati wa upigaji au kuhesabu kura hakuwezi kubatilisha mchakato huo.
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Upvote 4
1 Vote
  • Closed
Ibara ya 5 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imempa haki kila raia aliyetimiza umri wa miaka kumi na minane kupiga kura.Kwa mujibu wa vifungu vya 13(1), 13 (2), 35C, 61 (3)(a) na...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Upvote 1
0 Votes
  • Closed
Kwa mujibu wa kifungu cha 53 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, ikiwa mpiga kura ambaye tayari amekwisha kupiga kura hajaridhishwa na mwenendo wa upigaji kura katika kituo cha kupigia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Ibara ya 54 ya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 inamruhusu mtu anayeshindwa kupiga kura kutokana na sababu za ulemavu au kutojua kusoma na kuandika (a) Kumchagua mtu yeyote anayemwamini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
1 Vote
  • Closed
Habari wanaJF, Wakati tukielekea tarehe 28 Oktoba 2020 ambayo itakuwa siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Ni vyema ukafahamu yafuatayo: Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Upvote 1
0 Votes
  • Closed
Kifungu cha 70(1) cha Taratibu za Uchaguzi 2020 kinaeleza kuwa:- Kila Chama cha Siasa ambacho kinashiriki Uchaguzi wa Wabunge ambao utafanyika baada ya kuvunjwa kwa Bunge kitapendekeza na kupeleka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Kwa mujibu wa kifungu cha 68 na 69 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha 69 na 70 cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, kituo cha kupigia kura...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
4 Votes
  • Closed
MAKOSA YA UCHAGUZI Kwa mujibu wa kifungu cha 89A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, sura ya 343 na kifungu cha 88A cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, sura ya 292, Maafisa Uchaguzi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Upvote 4
0 Votes
  • Closed
Utaratibu wa Kupiga Kura (i) Mpiga Kura atatakiwa kwenda na Kadi yake ya kupigia Kura Kituoni na kumpa Msimamizi Msaidizi Na. 1 wa Kituo; (ii) Msimamizi Msaidizi Na. 1 wa Kituo atasoma kwa sauti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 0
2 Votes
  • Closed
Mgombea Kujitoa Kwa mujibu wa Kifungu cha 48 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mgombea anaweza kujitoa kugombea kwa kuwasilisha kwa Msimamizi wa Uchaguzi yeye mwenyewe barua ya kujitoa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Upvote 2
6 Votes
  • Closed
Orodha ya wapiga kura kwa kila kituo itabandikwa siku nane (8) kabla ya Siku ya Uchaguzi ili wapiga kura walioandikishwa wapate fursa ya kutambua vituo watakavyopigia kura. Vilevile, Tume...
6 Reactions
16 Replies
6K Views
Upvote 6
3 Votes
  • Closed
Mambo yanayotakiwa Kufanywa na Vyama vya Siasa Mambo yanayotakiwa kufanyika wakati wa upigaji kura mpaka kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi ni pamoja na- (a) vyama vya siasa na wagombea...
3 Reactions
4 Replies
46K Views
Upvote 3
2 Votes
  • Closed
Ufafanuzi huu ni kwa mujibu wa kifungu cha 57 (1) na (2) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, na kifungu cha 58 (1) na (2) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 Chama...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
0 Votes
  • Closed
Mfumo wa Uchaguzi Kwa Mujibu wa Jarida la Tume ya Taifa ya Uchafguzi Tanzania Ukurasa wa 8 Tanzania inatumia mfumo wa uchaguzi ambao mgombea anayepata kura nyingi halali kuliko mgombea mwingine...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 0
Back
Top Bottom