Kanisa la mchungaji maarufu Pastor Julienne Kabanda lafungiwa na RGB(Rwanda Governance Board).
Sababu zilitajwa kufutiwa vibali, kulitokana na kuendesha shughuli zisizoendana na zilizokuwa...
Huko New Zealand, inasemekana ni nchi ambayo, kondoo ni wengi kuliko raia. Nchi hii ina watu milioni 5.3. Lakini ina kondoo milioni 23.6. Ni kama kila mtu ana kondoo 4.5
Kondoo nchini humu ni uti...
Siku za nyuma walirushiana maneno makali, na hakuna alietegemea kicheko cha namna hiyo, ila walionyesha kuwa siasa inaishia ofisini, na tofauti hazimaanishi watu ni maadui.
Nchi ya Rwanda imezindua huduma ya mtandao wa 5G. MTN Rwanda, imesema kwa sasa inapatikana Kigali Heights na Kigali Convention Center. Baada ya majaribio, itaanza kusambazwa nchi nzima.
Wakati...
Bado malori mengi yanaendelea kusomba silaha za SADC zilizokuwa Goma na Sake,mashariki mwa DRC. Silaha hizi zilikosa kazi na kuangukia mikononi mwa M23,baada ya kuizidi nguvu SADC, FARDC,Wazalend...
Rwanda Investigation Bureau, imekabidhi watu mbali mbali simu zao zilizoibiwa kwa nyakati tofauti ndani ya miezi 5. Zoezi hilo limeambatana na kuwekwa wazi, watu 14 waliohusika na wizi huo.
Ni...
Massad Boulos, mshauri mkuu wa serikali ya Marekani, kuhusu maswala ya Africa, ametangaza kuwa baada ya Rwanda na DRC kuwakilisha matakwa ya kila upande kuhakikisha nchi hizi mbili zinafikia...
Mkutano huu unaotarajiwa jijini Kigali, tarehe 19-20 Mai 2025, ni sehemu pia ya maonyesho ya dhana za kivita za kisasa; utajumuisha mataifazaidi ya 60. Zitakuwemo drones, magari maalum kwa ajiri...
Serikalii inatuhumiwa kuhatarisha maisha ya raia baada ya kusitisha huduma za kibenki na za usafiri wa anga, katika maeneo yanayoongozwa na AFC/M23.
Askofu Donatien Nshole, amesema nguvu...
Jaribio lilifanyika kwenye Marekani, Afrika Kusini na Rwanda.
Utafiti wa shilika la afya duniani, ulibainisha kuwa, dunia nzima ina watu waishio na virusi vya ukimwi wapatao milioni 39,9 mwaka...
Baada siku moja, wanyarwanda 300 walipoingia nchini humo kutoka DRC, kwa mara nyingine, leo wameingia 790 pia.
Kwa mjibu wa vyombo vya habari, watu hawa, na wengine ambao bado hawajawasili...
Pichani, ni badhi ya silaha zinazounganishwa nchini Rwanda, kwa ushilikiano wa jeshi la Rwanda na la Israel, kupitia kiwanda cha Rwanda Engineering and Manufacturing Corporation (REMCO).
Silaha...
Wakimbizi hawa walikuwa wakiishi kambini Kakuma, huko Turkana, nchini Kenya.
Walioweza kutoa taarifa, wamesema uamzi huo ulitokana na kupunguzwa zaidi ya 50% ya chakula kutoka shirika la msaada...