Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

  • Redirect
Hello. My name is Kemirembe Celestine from Dar es salaam. I'm looking for a job as a customer service agent or at any administrative department. I have a certificate in business administration...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Heshima kwenu wakuu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, Wakuu namtafuta mtu yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata ajira Kama unao uwezo huo tuwasiliane PM au kupitia...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wandugu samahani Kuna suala Lina nitatiza kidogo naomba anayejua mwongozo kidogo anisaidie. Nimemaliza mwaka jana chuo ngazi ya degree ya ualimu Sasa wote tunajua changamoto ya kazi za...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
VACANCY Amref Health Africa –Tanzania is an independent, non-profit, non-governmental organization (NGO) whose mission is “to improve the health of people by partnering with and empowering...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
#Habaripicha Kutoka Benjamin Mkapa Stadium ndan na nje ya uwanja, Umati wa watu walioomba kusimamia uchaguzi Mkuu Oct 28, wakisubiri kufanyiwa usaili katika wilaya ya Temeke DSM. #uchaguzi2020
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
UVIMO ni muunganiko wa mafundi wa taaluma mbalimbali, tunafanya kazi nchi nzima bila kubagua Hali ya mtu. TUNAOMBA KAZI KWAKO Tunauwezo wa kufanya hayo kwa mpigo au kwa hatua sawa na maandalizi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari za siku Natafuta kazi ngazi ya Diploma katika fani ya Tehama . Nina uwezo kufanya yafuatayo :- Network configaratio Computer application Computer troubleshooting Retail application (...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari ndugu, naitwa James Patrick, nina miaka 27 naishi mbezi beach africana, elimu yangu ni form four. Nipo hapa kuomba kazi ya udereva wa aina zote, nina uzoefu wa miaka 11 kwenye kazi hii...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari zenu hivi tume ya utumishi wa mahakama bado haijaita watu kazini?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Natafuta gari la biashara kufanyia kazi ya tax mtandaoni (uber,bolt,paisha,litter drive) [emoji95]Lesin yangu iko active [emoji95]App za kufanyia kazi ziko active (uber,bolt n.k) Kwa mawasiliano...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Unatafuta mtu wa sales? Kampuni yako inakuwa kwa kasi na unahitaji watu wa kukusaidia kupanua soko? Uwezo wangu ni kuuza bidhaa kwa makampuni. Nina uzoefu wa miaka mitano. Kama kampuni yako...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu salama. Mwalimu wa shule ya msingi aliyetayali kubalidishana ktuo cha kazi kutoka shinyanga mjini kwenda Tanga Mjini Shule ya Msingi saruji . aliye tayari tuwasiliane 0786105531
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari Wajumbe hivi scale ya mcss4 ni shillingi ngapi take home na ile ambayo before taxation?? Msaada tafadhali.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
[emoji3055] [emoji1241]BETTER HEALTH PRODUCTS [emoji736]ni kampuni iliyosajiliwa inayoandaa na kusambaza asali original kutoka kwa mkulima. [emoji736]Asali ambayo hutumiwa na watu mashuhuri...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
natafuta gari ya kazi na Lesen Daraja c au Kazi ya private kwa upande wa uber na account zote mbili ya ube n bolt naomba mwenye gari au mwenye connection ya gari anichek kuptia no hii 0628729873
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial. Natafuta kazi kati ya hizi:- Secretary Stationary Reception Costumer...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwema ndugu, Naomba kufahamu majina ya waliobahatika sensa upande wa morogoro washatoa. Mwenye nayo naomba link
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
FURSA YA BIASHARA ISIKUPITE Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari za jioni wapendwa. Tangu tarehe 27/02/2019 nimekuwa ninajaribu kutuma maommbi ya nafasi za ualimu kutumia online teachers application system lakini imeshindikana. kujisajiri tu nimechukua...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom