Habar za leo wakuu
kama kichwa kinavojieleza juu tafadhali naombeni msaada wa kazi yoyote halali kama ni kuuza kwenye duka,au kazi yoyote halali niko tayari kufanya kazi kwa uaminifu,juhudi na...
Wanajukwaa salaam!
Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini...
Serikali tunaomba itusaidie MUHAS!
Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana...
Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru.
Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo...
Jina: Rich Mashauri
Mahali: Dar es salaam
Elimu: Muhitimu Bachelor of accounting with information technology (BAIT) chuo cha IFM
Miaka: 23
Gender: Male
Ujuzi: IT skills, accounting ethics na ujuzi...
Dear colleagues,
We trust that all is well.
Ifakara Health Institute is seeking a qualified Laboratory Technologist to join the Lab Unit in Ifakara.
The individual will work under the directive...
Ok straight to the point. Hivi viwanda vya nondo katika mikoa ya Mwanza na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?. Kwasasa nipo Nzega Tabora, Sehemu ya kufikia kwenye hayo majiji ninayo.
NB...
Kama wewe ni Accountant, na una uzoefu wa kutosha basi wahi ofisi za idara ya kazi Mwanza, ingia TAESA kuna hizo kazi nafasi 5 tu
mwajiri mmojawapo niliemwona ni mgodi wa NORTH MARA
Salary Range...
Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, Mimi ni me(29) elimu yangu Kidato Cha sita ninapatikana Dar es salaam ninaujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse...
Kwakuwa tupo katika nyakati ambazo ajira ni ngumu Kwa watu wa hali ya chini kama sisi hivyo sina budi kufurahia hiyo siku ambayo nitapata ajira serikalini
Kukosa connection na watu wakitupambania...
Ndugu zangu ninaomba msaada au connection ya kazi yoyote halali, mimi ni me(29) elimu yangu Kidato cha sita ninapatikana Dar es Salaam.
Nina ujuzi wa computer, Uhasibu, stocktaking, warehouse...
The Role
IT consultant for HMF project
Project Background and objectives
The International Finance Corporation (“IFC”), the private sector arm of the World Bank Group (“WBG”), fosters...
Habari za mida wakubwa zangu!
Naitwa Mzelela Ally, nina miaka 25 ni dereva na nimesomea VETA pamoja na N.I.T. course ya Public Service Vehicle na nina lesen Class A, B, D, C1, E pia nina uzoefu...
Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni...
Hakika hali ni mbaya. Katika mizunguko yangu ya kumalizia weekend, nikasema niingie kwenye ki-pub kimoja cha mtaani nipate hata ka-bia kamoja kupoza Koo.
Mhudumu mdada aliyenihudumia ni graduate...
Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu, nimesomea ualimu wa masomo ya Kingereza na fasihi ( English Language and Literature) pia nina uwezo wa kufundisha lugha ya Kifaransa (FRENCH)kwa...
Muda wa kazi
Saa 4 Usiku - Saa 4 Asubuhi
Majukumu: Wakala Mitandao ya Simu
Mshahara 200,000
Mawasiliano: PM
Eneo la kazi: Mbezi Mwisho
VIGEZO NI VILE VILE KAMA 👇...