Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

SIFA ZA MWOMBAJI 1. Awe Mtanzania kwa kuzaliwa. 2. Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 25. 3. Awe amehitimu chuo mwaka wa masomo 2013/2014 tu. 4. Awe na tabia njema. 5. Asiwe na...
2 Reactions
35 Replies
25K Views
Kama wewe ni mdada mzuri unaejielewa, uwezo mzuri wa kuongea kiswahili na kingereza, uwezo wa kuongea vizuri wateja, elimu kuanzia kidato cha sita na una nafasi kuanzia october hadi november...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa natafuta nafasi ya kufundisha masomo ya Chemistry na Biology, mwenye kujua shule yoyote ya private iliyopo Morogoro inayohitaji mwalimu wa masomo hayo naomba tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wenye hizo kazi zenu wametoa hayo majina wizara ya kazi nimeona daily news la leo
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Jaman wanajamii natafuta kazi yoyote kiwango cha elimu yangu ni diploma,
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kama waweza nisaida tuwasiliane pm
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nafasi ya kazi ya muhasibu msaidizi Sifa za muombaji:- 1.Awe Mwanamke na uzoefu usiopungua mwaka moja. 2.Umri Usiozidi miaka 35 3.Awe Diploma/degree ya uhasibu 4.Awe Na uwezo wa kufanya kazi...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Eneo la kazi: Morogoro Itapendeza kama atatokea maeneo ya Morogoro,Dar au Pwani. Mawasiliano: Uni PM au businessnow271@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu ningependa kupata kijani ambaye ana ufundi wa electronics. Awe amemaliza form 4 au kama si hivyo awe anajua kiingereza. wasiliana nami: wabuyaga58@gmail.com Note: Awe anaishi sehemu za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nashukuru sana jamii forum kwa kuwa mstari wa mbele kuelimisha na kutatua matatizo mbalimbali big up guys. Mimi shida yangu ni kuhusu kiwanda cha cement kipya cha huyu jamaa tajiri mnigeria...
1 Reactions
0 Replies
943 Views
Kama umesoma BA Economics UDSM na una GPA kwanzia upper second peleka CV yako na barua pale career centre pale UDBS, wanahitaji watu 10 kwa ajili ya ajira na 40 kwa ajili ya internship CRDB.
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu mm kijana elimu yangu ya kidato cha nne pia nimesomea ufundi wa umeme wa majumbani nna miaka 21 naomba kwa atakaeweza kunisaidia kupata kazi ata kama itakua tofauti na fani yangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
<br> Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linatangaza usaili kwa vijana waliomaliza form IV 2013 na Form six 2014 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2014 kuwa tarehe 23/09/2014 hadi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linatangaza usaili kwa vijana waliomaliza form IV 2013 na Form six 2014 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2014 kuwa tarehe 23/09/2014 hadi tarehe...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wadau wa JF Elimu yangu kidato cha nne, nimesoma coz za Computer, uzoefu ninaowakutosha sababu nimefanya kazi za stationary kwamiaka mitatu sasa, office niliokua nikifanya kazi boss wangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mwenye uzoefu (experience) plz naomba kujuzwa usaili kwa waombaji elimu ya juu huwa unafanyka baada ya muda gan tokea deadline ya kutuma maombi ambapo kwa mwaka huu ilkua31/8. Welcome...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
TAISODE is a non- profit, non- governmental organization registered under the Non-Governmental Act No. 24 of 2002 on 16th June 2014 and issued with a Registration Certificate No. 00007244...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamvi kulingana soko la ajira kujaa sana nisaidieni.Kijana wangu amemaliza Diploma in nursing August mwaka huu.Kwa anayefahamu hospital ya mission iliyopo MOSHI,ARUSHA JIJINI au TANGA yenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mfamasia(pharmacist) anahitajika,pharmacy ipo dar es salaam tuwasiliane kwa no 0712969669
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani kwa anayejua Hospitali ya mission yenye nafasi.Nimemaliza diploma ya nursing August mwaka 2014.Tafadhali nijuze hata kwa kuni PM.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom