Huyo sio waifu ni mdau tu wa maendeleo.
Wakuu chochote mtachosema mimi nitakuwa mtekelezaji mwaminifu.
Mimi naliamini sana hili jukwaa halijawahi kuniangusha hata siku moja.
Mnasemaje wakuu...
Tarehe kama ya Leo , Miaka 3 nyuma nilifanikiwa kumpata mwanangu wa kwanza (baby boy) lakini kwa kadari zake mungu hakuweza kuishi zaidi ya siku 1 pekee.
Hakuna siku ambayo siyaacha kutamani...
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja...
Wanajf habar gani?
Mambo niaje pande hizo. Kazi iendelee na kwingine people powers.
Kimsingi ni kwamba hii vita ni kali
1. WALIO NDANI YA NDOA na WALIOTOKA KWENYE Ndoa
wanasema ukiona...
Wanaume sisi ni watu tulio wazi sana kwenye hisia zetu tunapopenda na kutamani kitu chochote,ninapokupenda mwanamke nitakufata nitaanza ukaribu nawe kisha nitatafuta siku nitaomba tukae sehemu...
Mwanaume huelewa zaidi pale unapoongea na si kulalamika. Najua wanawake wametengenezwa kwa namna ambayo akiongea kitu kwa kulalamika basi hujisikia huru, hupata nafuu na wakati mwingine hata...
Wanaume ambao hamjaoa,wake zenu watarajiwa wapo makanisani,tembeleeni huko,kwenye kwaya za makanisa,wapo wanawake wengi sana.Nendeni kwenye makanisa,kusali,kuimba na kwa shughuli nyingine za...
Dah hii ni hatari nadhani hadi mwaka ukiisha ntakuwa nmebaki mifupa maana huyo singo maza anapenda huo mchezo hatari mnatoka kufanya saa 1 asubuhi ikifka saa 4 tu anaanza tena kutamani rungu...
Kama we ni mwanaume mweupe, una miaka 32-35 una kazi ya kuajiliwa, mkristu,huna UKIMWI,wala UTI sugu, huna familia upo mkoa wa Ruvuma nicheki inbox tuyajenge.
Karibu nimechoka kuwa single, na uwe...
Habari zenu wote ndugu jamaa ma rafiki
Uzi huu ni maalum Kwa ajili ya kuwapongeza single mamas wote guniani kote. Ukweli kutoka moyoni hongera zenu ziwafikie Popote mlipo kwenye hili gunia...
Je, Wajua Kuwa Haya Ndio Makabila Yenye Wanawake Wazuri (Warembo) Tanzania[emoji1241] ?
1.Wambulu (Manyara)[emoji1241]
2. Warangi (Kondoa)[emoji1241]
3.Wanyiramba (Singida)[emoji1241]
4...
Greetings to everyone, my dear brothers and sisters. I hope you all are in good health and progressing well with your nation-building endeavours. I am a 32-year-old man currently living in Dar es...
Mimi ni Mwanaume wa miaka
27 ,
Dini yangu , ni mkristo.
naishi DAR
kazi yangu ni muajiliwa
elimu yangu ni DIPLOMA.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
*awe mkristo
*Awe anaishi dar
*awe...
Ughonile..
Nina mpenzi wangu mmoja juzi katoka mkoa kuja kunitembelea ikabidi nilipie room hotelini tukaekae siku kadhaa then kila mtu aendelee na mambo mengine ya kujenga taifa.
Mimi ni mtu wa...
Umezaliwa humfahamu baba yako mzazi. Mama yako anakwambia babaako alishakufa. Anakutajia jina ambalo silo unalotumia shuleni. Unaanza kujiita ubin kwa hilo jina.
Baada ya miaka kadhaa,
mama yako...
Habari za weekend wapendwa,
I hope you are all doing great.Mimi ni single mum ambaye nalea mwanangu mwenyewe toka mjamzito.Babake alikataa mimba na kuomba niitoe but niligoma kuuwa kiumbe kisicho...
Wakuu, hii nimeikopi sehemu.
MAELEZO YANGU:
Wanaume tunahangaika kujipa ukamilifu ili tuweze kumdhibiti kiumbe anayeitwa mwanamke. Wasakatonge na wajanja kwa kuliona hili, wameamua kutumia mwanya...
Wakuu habarini za Jioni niko na Kademu bado ni ka bikra ka Chuo tatizo lililopo ni moja tumedumu zaidi ya miaka mitatu bila kuchakata mbususu though nishakavua nguo nikajaribu kutaka kuingiza...
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu...