Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Umeshawahi kuambiwa au kusikia siri ambayo endapo ingetoka nje au kujulikana na wahusika ingevuruga au kuharibu kabisa maisha yao? Mimi nitashare yangu ambayo inaniweka mimi na ndugu zangu kwenye...
19 Reactions
76 Replies
4K Views
Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya? Upi mtuzamo wako kwa...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
was a happy family. Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni. Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali. Mwanamke...
3 Reactions
11 Replies
689 Views
Mama wa Taifa la Afrika Kusini Winnie Madikzela-Mandela amefariki dunia. Amefariki miaka minne tangu alipofariki Nelson Mandela na kuzikwa Desemba 15, 2013. Winnie atazikwa Jumamosi ya Aprili 14...
22 Reactions
199 Replies
32K Views
Good morng Tanzanian Nina shemeji yangu mke wa kaka yangu ambae alikuwa rafiki kwangu tuna shauriana mengi sana mazuri na wakati mwingine kaka yangu akimkosea bas huja kwangu kulalamika nami...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Baadhi ya wake hawajui hata kwamba waume zao wanafanya kazi zaidi ya moja ili kuhudumia familia. Dunia ni mahali pagumu kwa mwanaume. Rafiki yangu alipoteza kazi yake mwaka jana. Jamaa...
4 Reactions
14 Replies
750 Views
SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Daaah, ila maisha yanaenda Kasi sana. Alipokuwa msichana mrembo pale ITV na Redio One alijulikana kama Beatrice Chalamila Binti kutokea Mkoani Iringa. Baada ya kupagawa na usakataji kabumbu...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea πŸ™ŒπŸ½πŸ”₯πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½. Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚. https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Wakuu hii imekaaje?? Mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo na kusalimia na kukaa miezi bila kuondoka. Mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona anamfukuza…
22 Reactions
178 Replies
7K Views
Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha 1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati. "Mimi sipendi mtu...
104 Reactions
343 Replies
60K Views
Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri...
13 Reactions
405 Replies
41K Views
Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna...
7 Reactions
58 Replies
4K Views
C&P Wise words! Don't lose a good man because of temporary financial struggles. Here's why: Good Character is Rare 1. Kindness, empathy, and compassion are valuable traits. 2. Integrity...
6 Reactions
12 Replies
677 Views
Nimeshirikishwa kwenye mgogoro wa kifamilia ambao wazazi waliooana wote wakiwa na watoto waliozaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa. Wakati wanaoana, mtoto wa kiume alikuja na mke / mama akiwa na...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwema wadau? Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume. Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau. Nimei experience hii hali zaidi ya...
14 Reactions
228 Replies
14K Views
Wakuu namshukuru Mungu baada ya kuhamia huu mji kwa zaidi ya miezi 5, huku nikitaka wa kunipunguzia upwiru ninapokuwa mbali na wife . Pia si mnafahamu kuwa michubuko inaimarisha ndoa. Nimefanikiwa...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
A man who can control his sexual urge is a man who can live many years on earth. Men don't know that some of their failures are caused by multiple girlfriends Not all girls have good spirit. Some...
3 Reactions
2 Replies
663 Views
Mwanaume mmoja alikuwa akimpa ombaomba $1000 kila mwezi. Mwanaume huyo aliendelea na hali hiyo kwa kipindi fulani. Siku moja, alimpa ombaomba $750 pekee. Ombaomba alishangaa, lakini akajiambia...
3 Reactions
3 Replies
460 Views
Habari za asubuhi. Kila mwanaume mwenye homoni za kiume ni mtu mwenye kutamani wanawake Muda wote.lakini haikupi uhalali wa kuwa nao. Wapo utatamani kushiriki nao ngono ,lakini mwingine...
5 Reactions
69 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…