Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko...
33 Reactions
251 Replies
7K Views
Moja ya vitu ambavyo tunavyo baadhi ya wanaume ni kuwachukulia poa wale wanawake wanoonyesha kutupenda kupitiliza, unakuta una mwanamke anakujali mnyeyekevu anakuheshimu alafu unamchukulia poa poa...
33 Reactions
167 Replies
18K Views
Kuna mdau aliwahi kukazia humu kuwa mwanaume anayejielewa usijiwekee asilimia miamoja kuwa mwanamke uliyenaye anaweza kuwa nawewe milele , usijiwekee asilimia mia siku akibadilka utakuja kulia...
20 Reactions
46 Replies
9K Views
Wakuu wasaalam, Issue inaanzia hapa wamekutana miaka kadhaa ilopita Binti no 4; ntatumia no ili kueleweka vzr akiwa ni single Maza wa mtoto mmoja wa kike kwa madai yake ni kwamba alibeba ujauzito...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Hello humu jf, Hebu tusaidiane mawazo na mtizamo huyu mtu ananiona vipi? Mimi ni kijana na umri wangu miaka 28 sijao Sasa kuna mwana kitaa hapa ninapoishi yeye ameoa na mtoto mmoja umri wake...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Happy Saturday wananchi wa Sameer Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka Sina Nia ya kumpoint mtu au Sina Nia Mbaya kuleta Uzi huu. Back to our mission Nimejiunga na JF Sina mda mrefu Sana Ila...
9 Reactions
63 Replies
2K Views
Guys week end naona imeisha sasa mnajipumzisha ili kesho muianze juamatatu kwa nguvu zote. Sasa basi, mwaka huu ulipoanza moja ya resolution nilizokuwa nimefanya ni kuwa karibu na Mungu na...
5 Reactions
61 Replies
2K Views
Niko hapa kituo flan cha daladala Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana...
45 Reactions
236 Replies
6K Views
Hello dears Poleni na majukumu. Kuna mmama fulani alikuwa anafuatilia nyendo za mumewe (waliyezaa nae watoto kadhaa bila ndoa) basi akagundua mzazi mwenza anapewa kisamvu cha kopo na...
16 Reactions
97 Replies
3K Views
Wanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo Jikite...
18 Reactions
117 Replies
4K Views
RECONCILIATION AFTER 6 YEARS OF DIVORCE???. Afrobeats Diva Tiwa Savage has reconciled with her ex-husband and baby daddy @Teebillz after six years of divorce. The couple who were married in 2013...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Kuna watu wanajiona ni wanaume na hata huwa wanaoa wanawake na kuzaa nao lakini kiuhakika wake si wanaume kweli.Kama wanawake wangekuwa si uwanawake wao basi wangewakataa mapema kabla ya ndoa...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Ifahamike kwamba sio wanaume wote ni waadilifu, vilevile siyo kila Mwanamke huwa mpenda ugomvi. kuna wanaume hutumia upole, huruma, kujali, kunyenyekea, kusamehe makosa, uvumilivu ambao mwanamke...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona single mothers wakistruggle kulea watoto wao wa kiume peke yao bila baba za hao watoto kuwepo. Je unaweza kumjua mwanaume aliyelelewa na mama peke yake? Je tabia zake zinakuwaje? Anaweza...
0 Reactions
95 Replies
17K Views
Hakuna Urafiki Kati ya Mwanamke na Mwanaume.. Kama Mwanamke Wako Ana Rafiki Wa Kiume, Achana Naye.. Wanawake Kuna Kipindi Wanakua Wadhaifu na Wanalijua ili.. Siku Ukimkorofisha Anajua Ni Sehemu...
5 Reactions
6 Replies
901 Views
Wasalaam! Kwenye haratakati za hapa na pale nilishawahi kukutana na Mikasa kadhaa ya lodge/gest nilizowahi kulala ! 1. Dar es Salaam Nilienda lodge moja nzuri tu yenye hadhi, kufika reception...
73 Reactions
1K Replies
320K Views
Wasaalam! Ni ukweli pasi na shaka, hakuna kitu kizuri duniani kama mapenzi, kupendwa, iwe na ndugu (familia), rafiki ama mpenzi. Love is most beautiful feeling in the world, yet people are...
26 Reactions
147 Replies
10K Views
Kweli maisha ni safari ndefu sana...... Nimekumbuka kisa kimoja miongo kadhaa nyuma.....wakati najitafuta nilijikuta nimepata hifadhi kwa Kaka yangu( Mola amrehemu).........Shemeji ilionekana...
58 Reactions
90 Replies
6K Views
1.JALADA LA KWANZA Hii ni true story. Japo nina ndoa mbili lakini nimezaa watoto kadhaa nje ya ndoa.Hadithii hii ambayo ni ya kweli ni jinsi nilivyozaa mtoto wangu wa pili wa nje ya ndoa. Ni...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka41, nipo mzima kiafya na ni mcha MUNGU. Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu kupata shida ya kupata mke sahihi, nilikuwa napata wapitaji. Sasa juzi, Kuna ushahidi...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…