Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama ilivyo katika tamaduni zetu mtu akifiwa watu hukusanyika na usiku ukifika hulala nje ili kumpa sapoti mfiwa. Juzi palitokea msiba jirani yangu ikibadi tujumuike pamoja ili kumpa pole mfiwa...
17 Reactions
59 Replies
8K Views
Wakuu kwema.. Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata...
25 Reactions
199 Replies
8K Views
Mimi na huyu mwanaume tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7. Baada ya kumaliza chuo, ilikuwa ngumu sana kupata kazi. Mimi nilibaki nyumbani nikawa nafanya kazi kwenye duka la baba yangu. Nilikuwa...
24 Reactions
82 Replies
6K Views
Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu! Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka...
22 Reactions
100 Replies
5K Views
Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione...
5 Reactions
9 Replies
810 Views
Habari wanaJamiiForums. Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa...
49 Reactions
521 Replies
41K Views
Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu. Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki. Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Dada zangu hamjambo? Jitahidini kubuni miguno mbalimbali inamaana kubwa sana. Mimi Ponjoro wa Kinondoni ukitaka niwe nakuhonga kila siku we toa milio mbalimbali hapo sitangoja uniombe hela. Ni...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Tuna miezi mitano tangu tuachane,kwa kipindi hiki nimejaribu kutoka na wanawake watatu wakali (yeye wa kawaida sana) lakini cha ajabu bado Ex anatembea kwenye ubongo wangu, hata hawa ninao kuwa...
17 Reactions
418 Replies
49K Views
Siku ya kwanza na ya pili condom huwa inazingatiwa sana Siku ya tatu na kuendelea mpira hauna thamani tena, mnaaminiana sana, Baada ya mwezi watu wanaanza kuchokana, wanahama kwa wapya, na huko...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Yupo Hapa kijana ana Age 30 Muathirika Anahitaji Mwanamke wa kuwa naye kimahusiano hadi ndoa Uwe serious na mwenye kujimudu kiuchumi Njoo Pm niwakutanishe Yupo Arusha
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje Yani mshaingiliana kimwili...
6 Reactions
92 Replies
2K Views
Wakuu Kwa upande wangu mwanamke niliyekuwa namjua kuwa ni black ile tii alafu badae nakuja namwona ashakuwa white tena unakuta anaringia weupe wake wa kujichubua huwa namwona ni mtu ambaye...
5 Reactions
16 Replies
861 Views
Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka. Eti ooh! ~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari za muda huu Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara. Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe...
18 Reactions
302 Replies
9K Views
Hello guys, Hapo zamani kabla sijaijua dunia vizuri, nlikuwa napenda sana kukaa kwa ndugu kipindi cha likizo (shule zikifungwa) au kwenye familia ya marafiki zangu..nlikuwa nkijihis comfortable...
31 Reactions
254 Replies
38K Views
MARA YA KWANZA NAFINYIWA KWA NDANI. Aliifinyia kwa ndani.... Nlishtuka nikapiga nduru, Aishaaaaaaaaaaaa unafanya nini sasa.... Nikamwaga mzigo woooote... Nikawa kama nimezimia. Ile kelele nlitoa...
14 Reactions
58 Replies
3K Views
Sio kila kesi inahitaji utimamu wa binadamu, nyingine unatikiwa ujizime data ndo u solve. Na kesi ya mshikaji wangu na mke wake walitengana kwa mda wa miaka wote washikaji zangu. Baada ya kupiga...
8 Reactions
14 Replies
718 Views
Kuna wanaume na wanawake asubuhi wao hawapigi mswaki wala halafu unakuja kazini au upo kwenye daladala unanuka mdomo sana ,. Inakeraa naukifika kazini dah yaani unaweza kutapisha mtu ukiwa...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Habari ndugu wana JF. Kwa majina yangu naitwa Mtoto kautaka, a.k.a indaba mtini wena, a.k.a saga manoti, a.k.a mgambo mwenye cheo, lakini pia unaweza ukaniita mmongoli. Niende kwenye mada, leo...
1 Reactions
14 Replies
757 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…