Labda bahati yangu ni mbaya maana kila napogusa jimbo limewahiwa
Ni miezi 8 sasa tangu niwe na huyu mwanaume, ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli kwa namna anavyonionesha...
Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.
Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.
Nina mke ambaye muda wote kisirani.
Ananuna nuna muda wote.
Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka...
Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake...
Nimekaa nikatafakari nimegundua mapenzi ni utapeli tu!, Haiwezekani ati mtu kwa kukubusu tu useme hayo ndio mapenzi!, yani mtu anatumia kiungo chake cha kusagia chakula (mdomo) kukuonyesha...
Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo.
Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa...
Kuna dingi mmoja makamu alikuwa kiwembe sana akazunguka hadi basi shida ni mtoto mwingine maana alibahatisha mmoja tu.
Sasa kwenye kuzunguka kwake akafanikiwa mwanamke mmoja ambaye kweli...
Kama una watoto wadogo basi hili jina sio geni. Huyu YouTuber sijui amewalisha nini watoto. Wakimuona tu kwenye TV wanaanza kukenua.
Amekuwa msaada kwa wazazi hasa wanapokuwa busy na majukumu ya...
Wakuu kumekuchaje?
Kwangu sio poa sana. Najutia hata kuacha kwenda kazini ili niende kuzini.
Kiufupi, kama wiki mbili nyuma kuna mwanamke mmoja kwenye mtandao fulani amekuwa ni kama ametembelea...
Kaka ako akirogwa una mtukana wifi yako ila wewe uko una roga kaka wa mwenzako ivyo ivyo sasa hapo kelele za nini? Sijawai waelewa mnatoaga wapi hayo mawazo muoshwa uhoshwa
Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi...
Sisi wapenzi watazamaji tukiongelea ndoa tunamaanisha hizi 👇🏾
Sio unasimama pembeni ya cheti ah-ah. Picha yenu hadi tusubiri Usimame pembeni ya jeneza.
Lazima uwe pembeni ya Bwana / Bibi ujidai...
Wanajamvi Leo katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na swala ambalo limekuwa likinigusa kwa muda mrefu,ni kuhusu usemi kutoka kwenye kitabu kitukufu unaomuasa mwanaume kuushi na mwanamke...
Vipi huko kwenu mahaba yapo au mnapelekwa kijeshi jeshi tu?
Wanawake tuambizane ili tujifunze mapya, vipi huyo mpenzi anakuonyeshaje mahaba kitandani na nje ya chumbani?
Pia kwa nyie wanaume...
Nimekuwa nikiona pattern fulani ya ajabu kwenye mahusiano. Wanawake wengi wakiwa kwenye 20s wanakuwa na nguvu nyingi za kimapenzi, kupenda kujaribu mambo mapya na kubadilisha wapenzi mara kwa...
Hello
Mwenzenu upweke utaniua Natafuta mwanamke ambae tutaenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume.
Sifa zangu;
Umri -30yrs
Mjasiliamali
Mkristo
Sifa za mke:
Umri 27yrs na...
Au Kila mtu ajihudumie mwenyewe?!!! Na vipi kitmabaa, kila mmoja na chake au kimoja hiccho hicho?!!! Tupieni maujuzi kwa mustakabali mwema wa taifa letu wadau.
Wasifu wangu:
-miaka ni 28 yrs
-Elimu ni college
-kazi ni mwajiriwa (sector binafsi)
-Dini ni mkiristo
Wasifu wa nimtakaye
- atoke Kanda ya ziwa
-elimu mwisho secondary
-dini awe mkiristo
OFfer...
Muendelezo wa simulizi za maisha yangu ya ujanani na mapenzi.
Leo acha niwasimulie kuhusu kijana aliyevunja rekodi zangu za raha, akanivuruga kidogo nichanganyikiwe - pia nakujibu swali lako @...
Wakuu
Kuna mambo yanafikirisha sana,mwanaume rijali,misuli imenyooka kama mimi, unakwendaje kununua malaya?
Katika maisha yangu huwa naona bora nikamatwe na mke wa mtu kuliko kudharirisha utu...