Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Picha linaanza unamtongoza anakukubalia, zinapita siku mbili anakuomba hela kiroho safi unampatia, hujakaa sawa baada ya siku mbili mbele kizinga kingine. Unasema kwakuwa ni mtu wangu ngoja...
26 Reactions
170 Replies
3K Views
Kuna wakati nilifikiri suala la kuposa, kuoa ni jambo jepesi, ila kwa figisu zile za mashemeji sijaamini macho yangu…kuna level ilifikia nilitaka kuwaachia dada yao ila kuna wazee waliniita...
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Kwema wadau mke wangu aliondoka kitambo nahitaji arudi au huko alikopanga awe mke wangu wa pili najua akija zalishwa na wengine nitaumia mara mbili yake kumbukeni niliumia sana kipindi aliondoka...
3 Reactions
32 Replies
874 Views
Wanawake nimewanyooshea mikono aisee Yaani hawa wanawake ni hatari aisee Yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia, gesi...
5 Reactions
29 Replies
603 Views
Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020 Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja...
7 Reactions
18 Replies
421 Views
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta...
22 Reactions
61 Replies
11K Views
Just assume, watu wanapigana ipatikane fedha ya kukutibu, mke wako anaonekana dubai, eti matatizo yapo tu, sa kama kapata muda wa kwenda dubai, huyu mgonjwa anachungwa na nani? MWENYEZI MUNGU...
12 Reactions
72 Replies
2K Views
Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata...
27 Reactions
101 Replies
2K Views
Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya...
20 Reactions
136 Replies
2K Views
Wakuu, mfano, mwanamke akishika mimba mwezi huu,je mwezi ujao anaweza kupata hedhi ama hukoma hapo hapo baada ya mimba kuingia?
2 Reactions
16 Replies
427 Views
Miezi 7 nyuma nilianzisha mahusiano nikiwa na lengo la kujichallenge, kujijenga kihisia kwa kuplay emotional game ili tuone ni nani atakayeteseka mwisho mwa mchezo. Nikatafuta binti mrembo haswa...
6 Reactions
35 Replies
813 Views
Wakuu, unakuta umemtamani kabisa mwanamke mnene na ukajitahdi kumpata,lakn pindi tu nikienda nae sita kwa sita,nikifanya nae round 1 siwezi kurudia, nahsi kama kinyaa na haiwezi kusimama. Kwa...
8 Reactions
33 Replies
551 Views
It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu ...
17 Reactions
111 Replies
2K Views
Kama huna hela jitahidi uwe muongo, wanawake wanapenda kimojawapo Ukiwa muongo muongo halafu msafi utagonga sana mademu kuliko hata wenye fedha.
4 Reactions
8 Replies
364 Views
Wakuu, huyu Sandra ndiye aliyeniingiza rasmi katika ulimwengu wa mahaba,kupendwa, kujali,kudekezwa na uchafu wote kunako sita kwa sita alinifundisha yeye,alikuwa anainyonya,anaimumunya kama pipi...
2 Reactions
10 Replies
280 Views
Hello fam it me beautiful girl ❤️❤️ karibuni sana najiamini kama na wewe unajiamini post ya kwako hahaha
11 Reactions
152 Replies
2K Views
Mshikaji wangu mmoja alikuwa kwenye mahusiano na mwenza wake kwa muda mrefu. Kwa kuwa waliaminiana kupita kiasi, alimpa mwenza wake Password ya simu yake akiamini ni ishara ya upendo na uwazi...
0 Reactions
2 Replies
199 Views
Salam wakuu, andiko hili ni kwa ajili ya kuelimisha jinsi jamii inavyo paswa kuishi na ma jobless pro max. Jamii yetu ina watu mbali mbali, wapo wenye ajira, ma jobless pro max, watu wa daraja la...
49 Reactions
236 Replies
7K Views
Mimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 150k-250k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi. Binafsi nina WiFi na kitanda tayari so hata...
13 Reactions
53 Replies
938 Views
Habarini, Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko...
34 Reactions
373 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…