MSANII maarufu wa muziki nchini Kenya,Charles Kanyi alimaarufu JAGUAR ameangua kilio kizito baada kushindwa kwenye kura za maoni akigombea Ubunge jimbo la Starehe kwa tiketi ya chama cha JUBILEE...
Namtazama John Kerry anavyowasifu kwa kuendesha uchaguzi kistaarabu na kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kukusanya na kujumlisha matokeo na kukamilisha process nzima ndani ya siku 2 tu za...
Aliyekuwa mgombea wa Ubunge Igembe Kusini nchini Kenya, John Mwirigi (24) ameshinda nafasi hiyo baada ya matokeo kutangazwa na Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).
Mwirigi ambaye anatajwa...
Our Deputy Chief Agent Norman Magaya hospitalized at Nairobi Hosp. He suffered a heart attack after an altercation with Kimani Ichungwa. We suspect poisoning.
Kufuatia uchaguzi nchini Kenya watu wameuawa na askari eneo la Madhare nje kidogo ya Jiji la Nairobi ambao ni wafuasi wa NASA . Matukio haya hayaonyeshwi na vyombo vya habari vya Kenya.
Akizungumza na waandishi wa habari asubuhi ya leo , mgombea huyo amepinga matokeo hayo ya awali yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi IEBC yanayoonyesha kuwa Kenyatta anaongoza wakiwa wametofautiana...
kwanza lets observe a moment of silence for the fallen heroes of NASA...RIP NASA...jamaa wameenda nyumbani wote... lol! what a waste of campaign funds
Rais ashachaguliwa...kenya has decided that...
Baada ya mgombea wa NASA kulalamika kuhusu matokeo sio halali yanayotolewa na tume kutokana kukosekana na baadhi ya nyaraka za fomu alizodai odinga
Sasa tume ya uchaguzi imesitisha kutangaza...
Huo ni ujumbe muhimu sana kwenu jioni hii. TZ haihusiki na figisu zenu, ibianeni, piganeni fanyeni yote mmalizane salama, msitafute mchawi. sisi na yetu na nyie na yenu. kila mmoja na lwake
Eritrea, Tanzania: Only African countries ready to face global pandemics
[https://static]
[http://www]
Abdur Rahman Alfa Shaban8 hours ago
Eritrea
Only two African countries are fully...
Aliyekuwa mgombea wa Ubunge Igembe Kusini nchini Kenya, John Mwirigi (24) ameshinda nafasi hiyo baada ya matokeo kutangazwa na Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).
Mwirigi ambaye anatajwa...
Kukataliwa kwa matokeo ya uchaguzi katika tovuti ya tume ya uchaguzi nchini Kenya kwa mara nyengine tena kumezua majina ya fomu zinazotumiwa katika kunakili matokeo ya uchaguzi.
Fomu zilizotajwa...
Hackers used the late Chris Msando's identity to access IEBC systems, Raila Odinga claims.
Raila, who is trailing President Uhuru Kenyatta by over 1 million votes, claims the results were...
Mgombea Urais wa Kenya anaeungwa mkono na ngome ya NASA, Raila Odinga amepinga matokeo yanayoendelea kutangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya nchi hiyo (IEBC).
Odinga ameeleza kuwa kutokana na...
1. Upinzani umekatazwa kuweka kituo cha kuhesabu kura
2. Wapiga kura kupiga kura kurudi nyumbani marufuku kukaa mita 400 karibu na kituo
3. Matokeo kutangazwa bila form zilizosainiwa na mawakala...
Magufuli alitamka maneno hayo leo kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta la Hoima-Tanga.
Apparently kuna baadhi ya Kenyan media outlets waliosema kwamba huenda Museveni hatokuja kwenye sherehe hii...
President Uhuru Kenyatta and Devolution CS Anne Waiguru are this year's recipient of the Middle East Africa Awards.
The award is presented by the Middle East Africa awards and investment...