Katika research ilihofanywa na shirika reputable international orgo lisilo la kiserikali (Price Waterhouse Coopers) limetoa matokeo kuwa Dar ndio mji wenye fursa nyingi za kiuwekezaji na mazingira...
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa hukumu kwamba Uhuru Kenyatta wa Jubilee hakushinda kihalali na hivyo kukubaliana na madai ya Raila Odinga kwamba uchaguzi mkuu nchini humo haukuendeshwa...
UHURU KENYATTA SIYO MWANADEMOKRASIA NI MNAFIKI, MAFIA NA MZUGAJI, HANA JINSI KATIBA ALIYOIPIGANIA ODINGA NDIO INAMFUNGA.
1. Wakenya sio watanzania kwamba unaongoza maiti. Kenya dakika chache tu...
Nchini Kenya kumetokea moto usiku wa saa 8 katika shule ya wasichana ya Moi iliyopo Kibera na kuunguza bweni hivyo kusababisha wanafunzi 7 kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Taarifa...
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA na imani ya kwamba wameibiwa kura,
Amefanya hivyo mahakamani ambako kulikuwa na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta...
-Hakubaliani na Maamuzi ya Majaji
-Amesema anaheshimu Maamuzi ya Majaji
-Awataka Wakenya Kudumisha Amani ya taifa hill
-Achukizwa na Maamuzi ya Watu 6 (Majaji)
-Yupo Tayari Kurudia Uchaguzi...
Katika Ukurasa wake wa Twitter, PLO Lumumba ambaye amejiita Mwanasheria wa mpito (a seasoned lawyer), ametabili kuwa Uchaguzi wa Rais utarudiwa nchini Kenya.
Lumumba amesema kuwa Mahakama Kuu...
Ukiachilia Yoote aliyoyafanya Mandela na tukadhani hatuwezi kumpata atakaye fafana naye. Hakika Mungu katupa Mandela wa pili wa Afrika. Hakika UHURU JOMO KENYATTA NI MANDELA WA PILI. Baada ya...
Kenyan international striker Michael Olunga has joined Spanish La Liga side Girona FC on a season-loan deal from Chinese Super League side Guizhou Zhicheng.
The 23-year-old has been processing a...
Kenya's Supreme Court has annulled the result of last month's presidential election, citing irregularities, and ordered a new one within 60 days.
The election commission had declared incumbent...
I will not resign, IEBC Chairman declares as he invites DPP to conduct investigations
The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) Chairman Wafula Chebukati has stated that he...
#INVESTING NEWS
SEPTEMBER 1, 2017 / 11:56 AM / IN 13 HOURS
Kenyan assets drop after court declares election result invalid
Duncan Miriri, Claire Milhench
3 Min Read
A man stands in front of...
Ndugu zangu,
Tafsiri yake; Kilichoangaliwa na Majaji si matokeo , bali mchakato wa uchaguzi. Kwamba mchakato ulikuwa batili. Na ilivyo, mchakato unaweza kuathiri matokeo.
Kenya imethibitisha...
Kwanza Kitendo Cha chama cha upinzani kukiunga mkono chama cha tawala ilikua ajabu kidogo japo unaeza pia kuitafsiri vinginevyo na ukawa right.
Cha kushangaza leo chadema pros wote wanaisifia...
Nitakua mnafiki nisiposema nimestaajabu mno, kwa kile kilichotokea Kenya hii Leo, hili ni kwa nchi za kiafrika, inafahamika kwamba sheria huwa ni kwenye maandishi tu, Kama Kenya wamefikia hapo...
Watanzania hii sasa ni too muchi, kuna watu wanapita kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika eti kocha wa arsenal amechangia kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi nchini kenya... emu tumhurumie huyu...
Leo ndio nimeamini kuwa WAKENYA wana akili kubwa katika bara zima la Afrika.Katiba ya Kenya ni Kati ya Katiba bora katika Afrika.Katiba inayovipi mamlaka mihimili mingine kama Bunge na...
Hivi punde mahakama ya juu nchini Kenya imeridhia ombi la Muungano wa NASA kuwa uchaguzi ulivurugwa. Je tujifunze nini na tuboreshe nini kwenye njia za uhesabuji wa kura kwa njia ya kiteknolojia...